Profits Are Better Than Wages. Do you agree?

Profits Are Better Than Wages. Do you agree?

kwa msingi huo wewe ni muogopa risk kwa hiyo biashara huwezi..unaona unapenda security ya kua employee..ukiikubali risk na kuifanya kitu cha kawaida..unapiga faida ogopa sana...mf kwenye hiyo mifano yako ukiingiza hizo risk likija swala la kutoka unatoka kiukweli,,dont let fear of loosing hinder you from achieving the joy of winning kaka amini hivyo
Mkuu kuna calculated risk ; gambling na ulimbukeni...kwa kutofautisha hayo takupa mfano mwingine..

Just image wewe ni fundi nije kwako na proposal ya kujenga hoteli kama Sheraton huko vijijini (tuseme Gamboshi au Ukara) nikakwambia either nikupe mshahara wako wa kazi utakayofanya au nisikulipe ila tutagawana profit nusu kwa nusu Hoteli ikianza kazi kwa miaka 50 ijayo.., utaona kwamba kwa proposal hii takuwa limbukeni kukubali kuchukua profit (ambayo kwa akili ya kawaida hoteli kama hii haitaingiza senti) ingawa same proposal ningepewa kama Hoteli ingejengwa Dar huenda ningekuwa tayari kufanya kazi bure na hata kuinvest pesa zangu mwenyewe.

Kwahio mkuu utaona kwamba kuna biashara nyingine ni biashara kichaa na inabidi kufanya SWOT analysis...
 
Back
Top Bottom