Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,687
Mkuu wewe unapotoka sana, ukiwa kama Mjasirimali, Pamoja na kwamba Mshahara wako ni Profit, bado Malupu lupu mengine utayapata kama aloance ya Safari, na kazalika,
Profit unayo pata ni baada ya wewe kuwa umetoa cost zote ikiwemo matumizi yako ukiwa katika shuguri za biashara, wakati Mshahara ndo kila kitu
Hapo kwenye Red, labda unazungumzia mishahara ya huku Bongo, Ila kwa wenzetu watu wanalipwa kwa saa, unalipwa kadri unavyo fanya kazi na si vinginevyo, ukiugua hakuna kulipwa,
kwa maelezo yako inaonesha kabisa kuwa unakubaliana nami kuwa wage ndio better kuliko profit.. Hayo malupu lupu mengine hata muajiriwa pia anayapata. Mwenyewe umekiri profit unayopata hadi uwe umetoa costs zote kwa mantiki hiyo profit yako ipo kwenye danger zone kama costs zako zitakuwa kubwa kuliko revenue.....
Halafu nazungumzia hapa hapa bongo ambapo mwisho wa mwezi unakimbilia zako benki, ukiumwa unapata mapumzko na mshahara wako upo pale pale... Hapa hapa bongo ambapo waweza pata chance ya kusoma zaidi huku mshahara wako ukiendelea kujicredit tu..