secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,775
- 47,660
Kama mmatumbi lazima nihare nikisikia jamaa yangu kapiga stepu.Tumbo la kuhara linawapata wamatumbi wakisikia umepiga kahatua kidogo mbele yao , sasa kuwa nnje ya nchi nayo ni stori ya kupanic au ni uzumbu kuku tu