Profile zetu hapa JF very interesting and confusing sana!

Profile zetu hapa JF very interesting and confusing sana!

Jana baada ya umeme kukata na ule uzi wa raarifa kufunguliwa kila mtu alikua anatoa ushuhuda eneo lake halina umeme, sijui kwimba, Tandahimba, tunduru, kibosho, changanyikeni, nyakasangwe, kaliua, mtimbira, mpitimbi huko, nk nk.

Ila tukirudi kwenye profile fulani from uk, fulani from Michigan, fulani from Munich, from Italy nk nk.

Mna tunachanganya lakini!!


Jumapili nzuri kwa wote.
Ha haaa
 
Hahaha huna akili kumbe😂
Sizitaki kwanza😂😂unajua ukiwa huna akili unaishi bila stress? Maana hufikiri kesho yako wala yajayo wewe ukila zako wali ukashiba unawasha Azam Tv ni tamthilia...Sio kuanza kufutilia DSE sijui hisa zimepanda ,zimeshuka sio mambo yako..Ila nataka mwanaume mwenye Akili sasa!
 
Sizitaki kwanza😂😂unajua ukiwa huna akili unaishi bila stress? Maana hufikiri kesho yako wala yajayo wewe ukila zako wali ukashiba unawasha Azam Tv ni tamthilia...Sio kuanza kufutilia DSE sijui hiya zimepanda ,zimeshuka sio mambo yako..Ila nataka mwanaume mwenye Akili sasa!
Hahaha pole sana...
Wanasema huwa ni perfect combo ila kwangu nooo
 
Back
Top Bottom