proffessional maids 4 hire1 pata personal maid | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

proffessional maids 4 hire1 pata personal maid

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by glamour, Feb 16, 2012.

 1. g

  glamour Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa bachelors na wenye familia, kama unataka huduma ya kufanyiwa usafi, kufuliwa na kupasi, tupigie 0715808038 au tuma barua pepe; lcmakoi@gmail.com.
  tuna wasichana, vijana wa kufanyakazi za ndani na kuondoka. kama unataka usafi mara mbili kwa wiki ni shilingi 50,000 kwa mwenzi, kama ni kila siku ni shilingi 70,000 kwa mwenzi. usalama ni guaranteed na kwalolote, kampuni itawajibika.
  wafanyakazi wana experience wala hutohitaji kuwafundisha kazi.
   
 2. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Wako mkoa gani?
   
Loading...