...siku nyingine kabla hajafanya hivyo ahakikishe kuna mgawo wa umeme!
Kwan ilitakiwa tucheke!?..mbona sijacheka?
Teh teh teh teh,nimecheka hadi machozi.
mbona sijacheka?
avatar yako imenimix sana, nimeharibu screen yangu kwaKwan ilitakiwa tucheke!?..
avatar yako imenimix sana, nimeharibu screen yangu kwa
kuisugua khaa...
kwi kwi kwiutachekaje wakati kuna operation sangara?
utacheka vipi na hujapiga mswaki asubuhi.mbona sijacheka?