Professor Muhongo aionya serikali

sie tunamkaribisha Muhongo,msomi, katika kuendeleza uchumi wa viwanda.

Aanze kwa kutengeneza juisi!
 
nch ina matatzo makubwa sana hii, na weng 2nacoment huku 2kiwa hatujui vitu kwa undan bal mihemko, wengne ushabk na hacra dhid ya unyonyaj unaofanywa na wazungu. kimsing ya2pasa kutulia na kutafta ukwel wa haya mambo kwan ha2jui kwa undan ndo mana mwngne anatukana tu matuc kitu ambacho hakna maana
 
mkuu,nakubaliana na Muhongo kuwa tutapata athari kubwa kutokana na maamuzi mabovu ya serikali. kinachonifanya nimponde ni kwamba alikuwa kwenye system,na kama mkuu wake haambiliki yeye alipaswa kujiuzulu kabla ili tuone huo uadilifu wake anaotaka kutuaminisha sasa.
otherwise there's no way anaweza kujitetea kwa sasa.
ati integrity?my foot.
 
Kwani hayo kayaona leo !!
Aache kututisha bwana
mtu Kudai chake iwe tatizo!!
Tunasubiria hiyo Shubiri kwa hamu

Hakutishi dunia inataka wengine wafikiri tofauti na wewe. Wapeni watu nafasi ya kufikiri tofauti na kusema wazi hata kama haupendi ndio maana hakuna dini moja duniani.
 


Yes! His integrity is unquestionable. Kwa nini usimuamini?? Unajua kiapo chake siku alipo teuliwa??
 
Aliyekudanganya nani kuwa uchawi hauendi ulaya
Uchawi hauvuki maji, mpaka ujisajili kwa wachawi walioko huko. Jaribu kupeleka uchawi America kupitia Bermuda triangle uone kama utarudi.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini hii habari.
 
Ku ukweli kwa mimi binafsi pamoja simkubali sn huyu prof lkn...kwa kipindi hiki cha magufuri Muhongo amejitahidi sn sector yake..kama umeme kukatika katika kukatika katika kumekwisha iwe kiangazi ama masika..labda kwa matengenezo..usambazaji wa umeme vijijin ulienda kwa kasi..ubadilishaji wa nguzo mpya za kisasa za greed ya taifa umeenda kwa kasi ya ajabu..upandaji wa bili za umeme ovyo ulipungua
 
Kwenye mchanga wa dhahabu kulikuwa na fedha zetu zilizokuwazinaibiwa au la? Ajibu hilo kwanza.
 
Prof
Unasahau kuwa tume ilikuwa Na maproffesa wa kuheshimika na kuaminika .
Unaweza omba ruhusa uchukue sample zako pale kwenye makontena bandari ni.
Iliuithibitishie Dunia hakuna hivyo viwango vya madini.

Bado kidogo ushuke hadhi km prof wa buguruni
 
Muhongo at it again, he speaks so highly of wawekezaji. Rejea, "watanzania uwezo wao ni wakuwekeza kwenye viwanda vya juisi"
What a waste....!
Mwambie Dr, Mengi anampa salam zake.
 
Muhongo nakupongeza sana kwa ujasiri wako .tatizo nchi hii haikubari watu wakweli km wewe .we we ulitakiwa ubaki hukohuko ulaya hapa tz ni siasa tu.muhongo huna kosa haya umeyakuta tu.umegeuzwa mbuzi was kafara
 
Mimi kilanikisikia haya nafikiria sana kuna nini katika mkataba? hii imebaki kuwa siri yao wakuu.kina pwagu ndo tunabaki kupayuka kwa tuscho kijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…