kalimbwane
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 708
- 697
Mkuu huwa nafuatilia sana mabandiko yako hakika huwa haichukui mda lazima ujichanganye!Kwahiyo akikosea asisemwe!!
Akiwa ccm ni mwanadam kama mimi
akiwa cdm ni malaika kwenu!
Tunajua mlivyo hovyo
mnamtukuza Mbowe kama Mungu asiye kosea.
Uyu ni sawa Na bata tu maprof wako wengi Na watendaji wazuri kuliko yeye,mramba alikuwa yuko vizuri sana ila kwa sababu za ukabila wakamtoa,pusi kabisaAliyekuwa waziri wa nishati na madini prof. Muhongo ameteta rekodi yake ya utendaji kazi na uwaminifu kwa taifa kuwa uko wazi nawala si wakutilia shaka.
Amesema kuwa pia kujiuzuru kwake si kwa lengo jingine Bali kutoa nafasi ili watu wapate nafasi ya kujua nini kinachoendelea juu yake.
" Watu wanasema Mimi Nina kiburi, lkn kinachofanya hivyo ni elimu yangu ambayo imenipa Tania ya kusema ukweli. Nikisema hiki ni kijiko na wala si koleo huwa namaanisha hivyo"
Pamoja na hayo ameandika kuwa Tanzania si kisiwa hivyo ijiandae kwa matatizo makubwa yatakayofwatia kutokana na makosa yetu tunayoyatenda na tunayoendelea kuyatenda hadi sasa na kuipata shubiri Kali itakayo fwatia kutoka kwa wawekezaji.
Hivi ni vitisho gani vimetolewa kwa mkuu wa kaya?Hawa ndo wanatakiwa wakabidhiwe kwa makonda awatandike sasa maneno gan ya vitisho kwa mukulu haya we unamtisha mzee mwwny jeshi?
Kupe wanaitumia CCM.ataondoka muongo atatumiwa ajae
Hama hata leo
Hivi watu wengine mkoje lakini? Hiyo vita itapiganwa kwa jeshi? Subirini tu,, time will tell!!Hawa ndo wanatakiwa wakabidhiwe kwa makonda awatandike sasa maneno gan ya vitisho kwa mukulu haya we unamtisha mzee mwwny jeshi?
Briefcase, hela na mashine.Vitisho havisaidii haya madini ni yetu wao walikuja na briefcase tu.
JPM achunguze teuzi zake...
Inakuwaje mawaziri wake (except Mh Kitwanga) wakipigwa chini wanatumia media kubwabwaja...
Something is very wrong somewhere...
Sijawai ona kitu kama hiki regimes zilizopita...
Statement ya Prof Muhongo inaleta maswali mengi ambayo sitaki kuyauliza maana nitakuwa mchochezi...
But hii serikali inafanyaje kazi? Wanajua collective responsibility...au ukitemwa uko free kusema chochote?!