Professor Muhongo aionya serikali

Muhongo at it again, he speaks so highly of wawekezaji. Rejea, "watanzania uwezo wao ni wakuwekeza kwenye viwanda vya juisi"
What a waste....!
Pamoja na hayo, dereva si alituambia anafaa na akasema 'tusiempenda kaja'?
 
Umemuandikia hayo maneno?? Madini yetu hata tukisema hayachimbwi hayawezi kuharibika. Wewe pimbi na wazo lako potofu usingeleta huu upuuzi hapa
 
Wakishatumbuliwa wanakosa hata aibu kabisa, nilimwona Nape sasa namwona na huyu. Wanatakiwa kukubali tu, their take is gone
 
Mafisadi wa hapa ndani kashindwa kuwashughulikia ndio atauweza Mziki wa kutoka nje?amuulize Mugabe.
Tanzania na Zimbabwe ni tofauti sana...Mugabe aliwafukuza wakulima wakubwa wote na kuwapa unskilled citizens. Je sisi tumemfukuza nani zaidi ya kutaka fair play tu?
 
Hizi taarifa zenu za uongo kuna siku zitawatokea puani. Sijui mnafanya kazi hiyo kwa manufaa ya nani.
Unaongea maneno kibao bila hata kuweka hiyo source. Vilevile sijawahi kumuona Muhongo kwenye twitter.
Umewekewa source haya njoo tena mpinga chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…