Wapinzani tunao mjua vema tabia zake tuliposema mlituona tunamuonea wivu sasa wacheni muyale matapishi yenuHuyu ndiye alikua waziri wa madini kabisaaa!!! hayo maneno alitakiwa kuyasema chizi,tumia usomi wako kuitetea nchi yako kwa vyovyote vile hata kama inakosea sema isahihishe na sio kuwa mshauri wa vitisho tu,mwanzon nilidhani kaonewa kumbe mkuu alikua sahihi
You are right lets wait and see
Ndg hiyo imetafasliwa kutoka kingereza kwenda kiswahiliHuyu sio Muhongo kuna mtu katengeneza akaunti , Hakuna RFA ya kiswahili tafadhali msichafue watu . Muhongo hajawa hivyo hata siku moja.
Huyo MOTOCHINI ni sawa na bendera ya AirportHuyu ni Muhongo yule-yule uliyekuwa unatokwa mapovu kumtetea kuwa ndiyo jembe lenu la CCM
Mbona hamjadai haki za ESCROW?Robert aliwatimua
sisi hatutimui mtu
tunadai haki
tunakataa kuibiwa wao waendelee kuwapo lakini sio kwa kutuibia
Huwezi kumlinganisha Mbowe na hao wezi wenuKwahiyo akikosea asisemwe!!
Akiwa ccm ni mwanadam kama mimi
akiwa cdm ni malaika kwenu!
Tunajua mlivyo hovyo
mnamtukuza Mbowe kama Mungu asiye kosea.
Ogopa sana njaa mkuuWakati wanakula kipande cha mkate wanashinda wanamsifia Magu. Lakini wakitolewa ndo wanapanua vinywa vyao. Yupo mmoja wao naye ni Prof.
Hujui Tweeter ndio njia rahisi kuwasilisha ujumbe kwa wana ccm?je alitoa ushauri sahihi kwa wakati sahihi??
maana isijekuwa anakaa kimya tu halafu anakuja andika twitter
Wacha wanalumumba wachafuanehuyo hata wakati ule wa kashfa wa ESCROW aliwatishia nyau wabunge kuwa akizungumza yote anayoyajua nchi itatikisika.
tunashangaa ametikisika yeye.hayo maonyo yake aliyo-tweet ilitakiwa ayafikishe kwa rais yafanyiwe kazi kuliko kujifaragua kwenye mitandao.
come on man,don't be so cheap!
Una hisa nini Acacia maana nakuona tangu jana unaendeleza vitisho.Hao watu tunaodeal nao wamewahi kumuua rais wa marekani. Kisha mwili wake ukiwa chini ya ulinzi mkali wakauiba na kuufanyia operation kuondoa ushahidi halafu wakaurudisha na hakuna aliyekamatwa hata mmoja .
Chako umeweka rehani kwa njaa na ulevi wako sasa unapodai si mkae mezani myazungumze?Kwani hayo kayaona leo !!
Aache kututisha bwana
mtu Kudai chake iwe tatizo!!
Tunasubiria hiyo Shubiri kwa hamu
sio kweli sema mzungu alikutana na mazuzu tu kama haya yakwetu tu yale ya zamani yalikuwa yanachezea almasi na dhahabu bao haya yaleo yaliuza migodi miaka mia,mchanga yakawa yaugawa tuu uende kienyeji huko nje ndio hivyo dunadekeshwa tuJiandae kuwa kama Zimbabwe chezea mzungu wewe,
Kumbuka ndiye kaifundisha Africa yote kuvaa tulikuwa tunatembea uchi.
Hama hata leoHakika tutaipata. Mimi nabadili uraia Singasinga tumelipa hela za watu, wenyewe wanatudai. Sasa tena tumeiba makinia ya watu nao tuwalipe! Hiyo kodi si tutavunja migongo? Nahama.
Yakupikwa....soon atakanusha
kazi za kishkaji alafu unawatoa washkaji kwenye michongo huku unawasnitch na wenyewe lazima wajitetee kisnitch tu maana wanakujuaJPM achunguze teuzi zake...
Inakuwaje mawaziri wake (except Mh Kitwanga) wakipigwa chini wanatumia media kubwabwaja...
Something is very wrong somewhere...
Sijawai ona kitu kama hiki regimes zilizopita...
Statement ya Prof Muhongo inaleta maswali mengi ambayo sitaki kuyauliza maana nitakuwa mchochezi...
But hii serikali inafanyaje kazi? Wanajua collective responsibility...au ukitemwa uko free kusema chochote?!
Tofauti yake na yako mwenzio kaongea kisomi/ kitaalamu wewe umeongea kikakusuku.yeye mpuuzi sana, asimtishe rais kwa maneno ya kijinga, kwa hili tuko pamoja na rais, kama alitumiwa na hao kupe awaambie "ngosha" kabana
Ulikuwa unataka muhongo amshauri nani? Magufuli?Huyu ndiye alikua waziri wa madini kabisaaa!!! hayo maneno alitakiwa kuyasema chizi,tumia usomi wako kuitetea nchi yako kwa vyovyote vile hata kama inakosea sema isahihishe na sio kuwa mshauri wa vitisho tu,mwanzon nilidhani kaonewa kumbe mkuu alikua sahihi