Professor Muhongo aionya serikali

Wakitumbuliwa u waziri ndo wanajifanya kuanza kuelewa wakati ni wanafiki watupu. Wapinzani walipokuwa wanaibua haya madudu wanakuwa wanawatukana matusi mazito eti leo anaema "I call a sped a sped!" Shame on him
 
Naona sasa anataka kujiingiza kwenye kazi ya utabiri...
 
Wapiga kura wake walimchagua kwa kulazimishwa
 
hana jipyaa
 
Kwani hayo kayaona leo !!
Aache kututisha bwana
mtu Kudai chake iwe tatizo!!
Tunasubiria hiyo Shubiri kwa hamu
shubiri tumevumilia miaka 17 itakuwa muda huu...huo ni mwendelezo tu..atuache bwanah
 
Kwani hayo kayaona leo !!
Aache kututisha bwana
mtu Kudai chake iwe tatizo!!
Tunasubiria hiyo Shubiri kwa hamu
Wewe leo hata akiwacha kazi magu utamlaumu maana wewe ni debe tupu la lumumba
 
Mwekezaji ni Mungu????? Nenda Kwa Amani MUHONGO
 
wanasemaga tu...hawanaga ujanja wa kusema ukweli...kuna maisha baada ya kuwa mkweli...nani anayataka hayo maisha
 
Kwani hao wawekezaji walikuja kuwekeza au kuiba kama wanatuibia ni vibaya rais wetu kutetea uchumi wa rasilimali zetu kama watanzania wrote watakuwa NA mawazo ya kuogopa wawekezaji taifa wataligawana namuomba rais akaze kamba NA kama kutuua watuue kwa chetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…