Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,230
Mtu msomi anategemewa awe na michango chanya kwenye jamii,atoe mawazo ya kuisadia jamii na si hizi pumba ambazo hata mie niliyeishia form two nazing'amua!
No , huwezi kuanza kumjadili mtu na kuanza kejeli tu na kusema una mashaka na taaluma yake halafu tusikuhoji.Haiwezekani unless kama ingekua kwenye jukwaa la Udaku&Jokes...
Nimekuambia kama ni ku-challenge uprofesa wake ukabishane nae kwenye journals huko kwenye pepa za kitaaluma alizoandika
Akileta Makala yake humu huwa tunazi-challenge na au kuzisapoti kwa kujenga hoja.
Au hujui hata nilimaanisha nini.?
Mzee,Tunasambulia hoja na sio mtu
If you are ready to engage in a robust debate, then hit me up! !
Otherwise sitakujibu tena
Sasa uprofesa wa mtu si unau-challenge huko kwenye journals huko.Yaani nisipokubaliana na hoja yako nitakua na elimu ya mashaka?
Kwako wewe and the likes ni kuwa wale waumini wa "Group thinking " na "Bandwagoning" elimu yao ipo juu au ndio ma-genius.
Au ndio wale wale wenye phobia na elimu kiasi kwamba ukisikia huyu ana cheti cha Kidato cha nne wakati wewe huna unaanza kumchukia.Kuna tabia mbaya sana imeibuka siku hizi na italigharimu taifa ile ya kuaminisha watu kuwa elimu siyo kitu kabisa.
My brother ,wake up! Hakuna taifa litakalojengwa bila kuwekeza kwenye elimu bora ya watu wake.
Pia msomi hatakiwi kujenga hoja za kisayansi kwa kufuata hisia za watu au mihemko vinginevyo tutakua na wasomi watakaoendelea kutulisha takwimu za uongo tu kama wale wanaodanganya kuwa uchumi unakua.Kuna matusi umeandika hapo juu ingawa hujui kuwa ni matusi....
Anyways,I think i should ignore you to avoid the escalation of your vituperation.
Mkuu huyu Prof sijui kama anaamini katika kuzichambua journals. Si ulisikia akimjibu Dr Slaa kwa niaba ya anaowatumikia kuwa TAFITI hupingwa kwa TAFITI? Sijui kama anaamini kama kuna kuichambua journal critically na kwamba critical review inaweza kabisa kuziona baadhi ya the so called tafiti kuwa ni takataka. ukiuza mwili waweza kuishia kupata ukimwi, lakini ukiuza akili unaishia kuwa mtu wa hovyohovyo.
Huyo ni system
Wewe nae usomi wako Una Shaka!!!!
Elimu ni uwezo sio cheti wala makaratasi.....
Wangapi wanaandikiwa hizo paper?? yaani kwa ujanja wako wote unapima akili ya MTU kwa paper??
Bado unabaki kule kule je umemsoma vizuri mleta mada?
Nani kajadili kapataje u professor wake? Wewe ndo hujaelewa na hujui unachojadili.....
Bado nakwambia maandishi hayatoshi kupima thamani ya elimu ya MTU isipokua matendo na matumizi ya elimu hiyo kwa jamii na yenye kuleta matokeo chanya.....
Unijibu au usinijibu hainipunguzii chochote.....
Elimu ni uwezo sio cheti....
"Kiwango bora cha elimu au MTU mwenye kiwango bora cha elimu hupimwa kwa mwenendo..matendo na mchango chanya ktk jamii."
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100. Kuna bosi wangu mmoja aliyenipokea siku ya kwanza kabisa nikiwa ndio naanza kazi aliniambia "Don't show me your cerificates because to me they only mean that your daddy had enough money to take you to school". Akaniambia ninachohitaji ni kazi yangu ifanyike with or without your certificate. Sasa the likes of akina Prof. Mkumbo ni kuwa wana vyeti pamoja na majina (prof) lakini mchango wake katika jamii unatia shaka wakati watu kama John Mnyika hawana hivyo vyeti wala majina lakini michango yao katika jamii haitiliwi hata chembe ya shala.
Me namkubali yule MBUNGE Profesa wa CDM.
hapana! akina Prof Muhingo,Tibaijuka, Mwandosya, Mwakyusa na wengineo usiwaweke na kundi mmoja na mganga wa kienyeji (maji marefu). Huo wa Kitila inawezekana kaupata kama wa Kikwete lakini hao niliowataja ni Maprof wanaotambulika na kuheshimika kimataifa. Usifikiri Prof anaweza kufanya kitu na mfumo wa nchi chini ya chama tawala unavyotaka.Tanzania ilipata kuwa na Professor mmoja tuu wa ukweli,nae si Mwingine bali ni Professor Philemoni Sarungi pekee hao wengine sijui Muhongo,Kapuya,Maghembe,Tibaijuka,Mkumbo ni uchwara a.k.a wachumia tumbo wapo kundi moja na Professor Maji Marefu.
lusungo
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100. Kuna bosi wangu mmoja aliyenipokea siku ya kwanza kabisa nikiwa ndio naanza kazi aliniambia "Don't show me your cerificates because to me they only mean that your daddy had enough money to take you to school". Akaniambia ninachohitaji ni kazi yangu ifanyike with or without your certificate. Sasa the likes of akina Prof. Mkumbo ni kuwa wana vyeti pamoja na majina (prof) lakini mchango wake katika jamii unatia shaka wakati watu kama John Mnyika hawana hivyo vyeti wala majina lakini michango yao katika jamii haitiliwi hata chembe ya shala.
Nimesoma makala za waliokupinga kwa hoja na nimeona hoja zao zina nguvu kuliko zako mf. Kubenea.Well, tunajadili hewa. Kama ulitaka kujadili mada yangu kwa nini usiweke hapa makala husika ili watu wasome? Na kwa nini tunadhani kwamba wote tunatakiwa tuwe na mawazo yanayofanana? Udhaifu moja tulionao ni kushindwa kukabili hoja kinzani kwa hoja badala yake tunapambanisha hoja na kejeli, matusi, n.k. Kosa la makala imekuwa kuwasifia Zitto na Kafulila kwamba walifanya kazi nzuri ya uongozi??!!
Mada yenyewe ni hii hapa kutoka gazeti la mwananchi.
Kikwete ana wakati mgumu akijaribu kupuuza maazimio ya Bunge - Kitaifa - mwananchi.co.tz
mleta hoja umeongea mambo ya jumlajumla bila kusema kiufasaha hasa nini tatizo la prof Kitila