Leo akiongea yanayokugusa utampa sifa za kila aina ila kesho akiongea nje ya unachokipenda utakuja hapa na matusi kibao. Watanzania ndo mlivyoBusara yako Professor Mwandosya kwa muda huu ni muhimu sana. Tumeshasikia busara za Pius Msekwa.....Hekima na busara zenu zitaandikwa kwa wino wa dhahabu.......
Hata mtukufu yuko ivo so usimbeze jamaa maana hata kiongozi wake yupo ivo piaLeo akiongea yanayokugusa utampa sifa za kila aina ila kesho akiongea nje ya unachokipenda utakuja hapa na matusi kibao. Watanzania ndo mlivyo
Hayawani weweasije kusema tu anarudi chama cha mahayawani
Mbunge wa Zamani wa Rungwe, Waziri, na Mkuu wa Chuo cha Sayansi na teknolojia Mbeya Professor Mwandosya Amekua kimya kwa Muda mrefu Leo ameamua kuongea na vyombo vya Habari. Ngoja tutege Masikio ataongea nini?
Stay tuned .........
Aliyekuwa waziri asiyekuwa na wizara maalum prof Mark Mwandosya hahaaaaa duniani kuna mambo ila Tanzania ni funga kazi
We unataka na hii ID waipige ban?Moderator mpe ban Good People kwa sababu hii habari si ya kweli!!! Prof. Mwandosya yuko kwenye Nile Day kama Key Speaker.
Stay tuned.Mbunge wa Zamani wa Rungwe, Waziri, na Mkuu wa Chuo cha Sayansi na teknolojia Mbeya Professor Mwandosya Amekua kimya kwa Muda mrefu Leo ameamua kuongea na vyombo vya Habari. Ngoja tutege Masikio ataongea nini?
Stay tuned .........
Huyu mzee mwanae aliondolewa kwenye system kwa shari,sijui alijisikiaje!Bado mzee malecela
Hatemagi madini yake hovyo hovyoHivi Lowassa ameshaongea na waandishi wa habari? Maana mlitwambia amekatiza likizo yake kuja kuongea na waandishi huku Dar.
Jamaa ungeongea bila kuandika ingekua poa sana maana leo imeshapita sijui ataongea lini tenaMbunge wa Zamani wa Rungwe, Waziri, na Mkuu wa Chuo cha Sayansi na teknolojia Mbeya Professor Mwandosya Amekua kimya kwa Muda mrefu Leo ameamua kuongea na vyombo vya Habari. Ngoja tutege Masikio ataongea nini?
Stay tuned .........