Professor Karim or the Comedy of Errors

Who authored the sources of what you call real history of Tanzania? I am doubting someone drawing conclusions basing on sources he knows himself. I have read prof` submission sounds very fair and logical. The author of this topic seems to belong from those group of people intoxicated with fabricated belief that Muslims have been down simply because of christian been inpower. Inferiority complex is dearly killing you, hawa hawa ndo wanaolia mpaka Leo kwamba wapo maskini sababu ya Nyerere mtu aliyetoka madarakani 31 years ago.
 
Hawa nieakupuuzwa tu maandiko mareefu full kueneza udini na vi English vyako vyakuunga ivo ... Kwanini usijadili maendeleo, kuna watu wamevamia Uislamu wanapenyeza chuki mwisho wasiku waone vita wakristo nawaislam wanapigana wao mbioo. Nadhani hii ni agenda yao. Ndugu zangu waislam msiposimama kukemea watu kama hawa wanaharibu sana hadhi ya dini yenu kwenye jamii. Nihawa hawa utawasikia wakisema Alshabaab na Boko haram eti wanapigania haki zao, sijui haki gani izo watu wanateka, kuchinja watu kama kuku nakubaka wanawake wakiwemo waislam wenzao. Seriously mkiyafumbia macho hate ya dini yenu haitaisha na watu wataona wote nyie ni sawa na kambare na tope
 
inabidi nivute pumzi.... hoja nzito maswali yameulizwa... watu wanakimbia majibu.... elimu ya historia sina.. naanza kujifunza hapa....
 

Ahsante kwa maelezo yako, je unajua the logic behind the Bantuism? Mkuu Punjab nina wasi wasi hizi habari unachukua wikipedia, hazipo sahihi.
 
Last edited by a moderator:

Ahsante Al Alama Mohamed Said kwa kunifunza adabu za mnakasha, Hakika Mungu akijaalia Maalim FaizaFoxy nae ataiona hii Elimu maana yeye muda mwingi hutukosea adabu sie watu wa Mang'ula na mie kijana wa ujanani.

Nirudi kwenye hoja zako sasa.

Kwanza unaposema nitoke nje ya "Kisanduku" inakua ngumu MS, kwa sababu hata nikiwa nje ya kisanduku bado hutaniona MS, kumbuka maandiko yako yapo katika subjective dimension( not an offense, its naturally). sifikirii katika tafiti zako unategemea kukutana na kitu tofauti na unachokitafuta (violating the rules of scientific research).

Hata Ikitokea ukazungumzia foundations za ukombozi huko Mbeya kwa kina Chief Merere, basi si ajabu akaitwa Chief Khalid Merere ili kutimiza kile unachokitarajia, hii si sahihi ndio maana nikatumia neno hadith na nitaomba samahani kwa kukukwaza.

Swala la wahehe kuwa 98% si Waislamu wakati Mtwa Mkwavinyika alikuwa Muislamu (niliiona barua yake) bado halijibiki isipokuwa kwa hoja yangu kuwa Mkwawa aliwatumia waarabu kwa ajili ya biashara na kujilinda (silaha). Kama Kanisa lingekuwa limeovertake, lilishindwaje kule lilikoanzia (Bagamoyo)? ambapo kwa kijiji cha Kaole tu kuna Misikiti zaidi ya 5,
Bwana Kheri aliupokea Uislamu akawapa watu wake, Mkwawa aliutumia kwa matumizi yake aliyoyapanga na ndio maana hakuusambaza kwa watu wake.
 
Last edited by a moderator:

Kwanini usifungulie nyuzi ukatupa darsa la huyo Yusuf wa kwenye Biblia, sisi tutakuja kukujibu. Hapa kuna darsa la historia ya Tanganyika.
 
Ahsante Al Alama Mohamed Said kwa kunifunza adabu za mnakasha, Hakika Mungu akijaalia Maalim FaizaFoxy nae ataiona hii Elimu maana yeye muda mwingi hutukosea adabu sie watu wa Mang'ula na mie kijana wa ujanani.

Ukisikia uongo ndiyo huo, leta ushahidi wa nilipokukosea adabu.

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea uongo?
 

Uislam hausambazwi, unaanza kufikiri kikanisa kanisa ukifikiri kuwa Uislam unasambazwa, Uislam unajisambaza wenyewe na halazimishwi mtu kuukubali Uislam ni wewe na akili yako.
 
Ahahaha,kweli bwana halafu nataka niwaulize hawa waungwana,kwanin ukiwa mwisilamu kila saa unaonewa,unabaguliwa n.k?
Msome Albart Pike n umuelewe... uislm ni dini iliyokamili...so the clsh between capitalism n socialism is almost over ... now is the fighting between Islamic civilization vs capitalists ...
 

Okay bring us the proof that Mtwa Mkwavinyika was not a real Musliman.And since you claim 98% and he was a Christian bring us a proof that he was a Christian preacher so that he could spread Chriastianity to his Hehe people to reach 98%.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kwa maelezo yako, je unajua the logic behind the Bantuism? Mkuu Punjab nina wasi wasi hizi habari unachukua wikipedia, hazipo sahihi.

I think you are taking your theory of Bantuism and Afrocentricim form Wikipedia. I don't trust everything that is writen in wikipedia. As I stated before no one among you knows my age. Wikipedia just came 10 years ago. Did you know that the land of Tanganyika and all those lands that we now call Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, Zambia, Malawi, Botswan and Zimbabwe was known as one land called Ethiopia?
Did you know that this land that we now call Tanganyika got its name in 1920?
Did you know that Kigoma was under Belgian colonization till 1920 when it was handed over to the British as part of Tanganyika?
 
Okay bring us the proof that Mtwa Mkwavinyika was not a real Musliman.And since you claim 98% and he was a Christian bring us a proof that he was a Christian preacher so that he could spread Chriastianity to his Hehe people to reach 98%.

Mi sijasema hivo ulivyosema wewe, tafadhali yasome tena maandishi yangu
 

Hayo yote siyahitaji, nataka uniambie logic ya Bantuism ni nini? nakurahisishia swali zaidi, tunaposema Wabantu tunamaanisha nini?

Kwa sababu ukiangalia maelezo yako yanakinzana na Ubantu wenyewe.
 
Ni kweli Uislam haulazimishwi hata yule mwana Mama wa Sudan Meriam Yehya hakulazimishwa kukubali Uislam.

Uislam hausambazwi, unaanza kufikiri kikanisa kanisa ukifikiri kuwa Uislam unasambazwa, Uislam unajisambaza wenyewe na halazimishwwi mtu kuukubali Uislam ni wewe na akili yako.
 
Ni kweli Uislam haulazimishwi hata yule mwana Mama wa Sudan Meriam Yehya hakulazimishwa kukubali Uislam.

Naam, hakulazimishwa.

Jee wewe? kuna siku hata moja Muislam aliwahi kuja kukulazimisha uwe Muislam?
 
Bi mkubwa FaizaFoxy vipi tena nimekwambia Uislam haulazimishwi nikatoa mfano wa Meriam Yehya wa Sudan kama mfano mzuri jinsi Uislam usivyolazimishwa kwa watu sasa mimi naingiaje tena hapo wakati nimekubali uliyosema mbona unapenda ligi pasipo sababu za msingi ebo.

Naam, hakulazimishwa.

Jee wewe? kuna siku hata moja Muislam aliwahi kuja kukulazimisha uwe Muislam?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…