Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,719
- 1,440
Kweli mkuu,ila kwa ss prof anapambana na ugonjwa wa kisukari alioupata hivi karibuni aki recover vizuri labda atafanya vyema. Naona afanye colabo na Roma Mkatoliki ambaye naona anachukuwa nafasi yake
mie naona sauti iko pale pale ni mkali,sema amekosea lyrics....hazina ishu.....zimemlet down
Tatizo la hawa ndugu zetu hapo alipo alishajiona kuwa amefika, sidhani kama alifikiria kesho yakeUtu uzima umempigia hodi,aache mziki afanye shughuli nyingine tu.

Nimepata nafasi ya kusikiliza nyimbo mpya ya mkongwe wa hip hop Tanzania Professor Jay lakini kwa mtazamo sijasikia kitu kipya ,Mkongwe huyu anapotoa track basi itakuwa ni gumzi mitaani

Hii track ya Kama Ipo naona kama amerudia maneno yale yale kwenye tracks za nyuma -yaani hakuna jipya.

Nimezoea vitu vipya mfululizo na vyenye msisimko kama Chemsha bongo,Bongo Dar es Salaam,Ndio Mzee,Sio Mzee,Zali la mentali,Hivyo Sivyo na Hapo vipi...

Nadhani kuna haja ya wasanii kujifunza kutoka kwa wasanii wengine walioko nje ya nchi wanakotoka na kusoma alama za nyakati.Sizani kama ni mbaya kwa msanii mkubwa kuamua kuomba ushauri wa kiutunzi kutoka kwa mashabiki kupitia website yake ama kwenye mitandao ya kijamii.

Sisiemu wananua wasanii, labda aende aanza kuimba nyimbo za chama halafu baadae anaweza kuwa promoted kama komba naye akajitwalia jimbo.!

Kweli mkuu,ila kwa ss prof anapambana na ugonjwa wa kisukari alioupata hivi karibuni aki recover vizuri labda atafanya vyema. Naona afanye colabo na Roma Mkatoliki ambaye naona anachukuwa nafasi yake
kisukari at thirties???????
afya za watanzania zina walakini.....