Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,720
- 1,440
Nimepata nafasi ya kusikiliza nyimbo mpya ya mkongwe wa hip hop Tanzania Professor Jay lakini kwa mtazamo sijasikia kitu kipya ,Mkongwe huyu anapotoa track basi itakuwa ni gumzi mitaani
Hii track ya Kama Ipo naona kama amerudia maneno yale yale kwenye tracks za nyuma -yaani hakuna jipya.
Nimezoea vitu vipya mfululizo na vyenye msisimko kama Chemsha bongo,Bongo Dar es Salaam,Ndio Mzee,Sio Mzee,Zali la mentali,Hivyo Sivyo na Hapo vipi...
Nadhani kuna haja ya wasanii kujifunza kutoka kwa wasanii wengine walioko nje ya nchi wanakotoka na kusoma alama za nyakati.Sizani kama ni mbaya kwa msanii mkubwa kuamua kuomba ushauri wa kiutunzi kutoka kwa mashabiki kupitia website yake ama kwenye mitandao ya kijamii.