Professor Jay Ndio anatokomea !

hilo linakushangaza? ni kawaida kwa zama hizi braza, ndo maana yanaitwa life style diseases

Mhh kisha aanza kuugua, jamani ugonjwa huu mbaya sna. Mmhhh hata hivyo kavuta sana, toka wakati ule aliposemekana kuupata.

Mhh ugonjwa huu.................ajitahidi kunywa dawa na kufuata masharti............................sukari inatibika/ kupata nafuu
 
Kweli mkuu,ila kwa ss prof anapambana na ugonjwa wa kisukari alioupata hivi karibuni aki recover vizuri labda atafanya vyema. Naona afanye colabo na Roma Mkatoliki ambaye naona anachukuwa nafasi yake
Nasikia yupo ICU.
Mwenyezi Mungu amponye.
 
Kweli mkuu,ila kwa ss prof anapambana na ugonjwa wa kisukari alioupata hivi karibuni aki recover vizuri labda atafanya vyema. Naona afanye colabo na Roma Mkatoliki ambaye naona anachukuwa nafasi yake
Miaka 11 nyuma ulichokisema mbona kinarelate na current situation 🤔
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom