TANZIA Professor James Shaba afariki dunia. Alifanyia postmortem mwili wa Hayati Sokoine

Aisee!
Watu type yako ni wachache hii Tanzania.

Truth never offend
Truth never offend...

Professor Shaba nitamkumbuka kwa kusimamia mtihani wetu wa somo la Pathology tukiwa Medical School mwaka 1982. RIP mwamba!.✝️
Hivi hii profession bado ipo nchini?
Sidhani kama bado watu wakifa wanaenda kufanyiwa postmortem unless ni very unique case itakayohusisha nchini kutaka kujua....
Nakumbuka miaka ya 80, Polisi nzima alikuwa mmoja tu Dr Pallangyo.....
 
Dr Kasambala ni mjomba wangu toka kijijini.
1975 tumefanya kazi wote zahanati moja kati kati ya Jiji, Dr Kasambala akitokea Muhimbili.
Alikiwa mtu wa whiskey kwa sana.
Miaka hiyo uliingia ugonjwa wa Alto Cholera, ndugu yake na Cholera. Ugonjwa ulikuwa haujawahi kutokea Tanzania, na ulikuwa unatisha.
Mtu anaharisha na kutapika mfululizo hadi anakufa kwa kukosa maji mwilini.

Tukiwa tea break tukamuuliza, ugonjwa huu utaisha lini?
Dr Kasambala alijibu simply, "it is here to stay".

Ugonjwa huu ulileta tafaruki nchini hadi bungeni.
Kuna mbunge toka mikoa ya mwambao aliuliza kwa waziri wa Afya, wakati huo akiwa ni Dr Leader Stirling, mzungu toka Uingereza, "ugonjwa huu mbona uko mikoa ya pwani kwa wingi, na serikali haifanyi kitu"
Dr Stirling alimjibu, "ugonjwa huu unatokana na binadamu kula vyakula vilivyo changanyika na kinyesi chake mwenyewe"

Ikatokea valangati, watu wa pwani wakaona wametukanwa na mzungu, ati wanakula kinyesi.
Joto lilikuwa kubwa hadi Dr Stirling alijiuzulu.

Lakini kiukweli Dr Stirling alikuwa sahihi.

Watu wengi wa pwani walikuwa wanawaosha maiti wao waliokufa kwa cholera kwa mikono mitupu.
Vidudu vya echoli na/au vibrio cholera vikaingia kwenye kucha na mikono hivyo wakati wa kula mlipuko wa ugonjwa uliendelea.
Na walikufa watu wengi hadi elimu ya kutumia madawa kuwaosha wahanga ilipoanza kuenea, na ugonjwa kupungua.

That was in the 70s to 80s.
Aise,nawajua wale watoto wake kuna mmja yule alikuwaga Bank anapiga kazi
Vp kasambala yule mwingine alikuwa bosi tanesco zamani,inasemekana alikuwa akili kubwa sana

Ova
 
Yupo mzee mmoja namjuwa ni kama mzee wangu,wazee wetu wa mjini
Alikuwaga serikalini wakati wa nyerere....wakati wa kifo cha sokoine
Nyerere....alimteua yeye kuchongesha jeneza na kwenda uchukua mwili wake mochwari
Kwake Ana picha za kitambo sana na kuna moja huyo mzee akiwa na sokoine,wakiwa ndani ya handaki wakati wa vita ya kagera
Ngoja niishie hapa

Ova
Asante, ishia hapo hapo!.
P
 
Nimekwisha kueleza haupo makini hata kidogo katika maoni yako.
Hapa unadai hunifahamu, na wakati huo huo unajifanya wewe mjuaji wa hayo mambo kuliko ninavyo yajua mimi.

Tatizo ni kuwa huna kumbukumbu na wala hujishughulishi kutaka kujua huyo unayejibishana naye rekodi yake ipoje humu JF, ili usiparamie tu kumpachika majina kwa kujipa wewe ujuaji zaidi ya mambo unayodhani yeye hayajui.

Hapa unataka kutumia umri wako kulazimisha watu waamini unayoyajuwa wewe, bila kujali huyo unayejadili naye pengine ni zaidi yako katika uzoefu wa hayo hayo unayotaka kudanganya juu yake.

Mwisho niseme, hicho kitabu hakuna, ni danganya toto tu. Na jinsi unavyopinda pinda katika kutoa visingizio vya vitisho, ni dhahirikuwa hukuwa na msaada wowote katika utumishi ndani ya mashirika hayo uliyotumikia. Ni wazi ulikuwa ni sehemu ya kuyahujumu yasifanikiwe. Ulikuwa ni sehemu ya tatizo, na siyo sehemu ya ufumbuzi.
Du nafikiri kwa kufuatilia comments zako ,huna tofauti msomi ambaye bado ni mjinga kuelewa mambo.
 
No I don't real know but kwasababu nimekaa newsroom for more than 30 years, watu wengi ninawajua kupitia habari ikiwemo kufanya interview za one on one na marais wote 6!. Nyerere ni baada ya kustaafu, na Mama akiwa Waziri.

P
Pascal unahitajika sana kujulikana kwa kizazi hiki. wakipatikana interviewers makini wasio na harakana walio very matured unaweza kutoa madini mengi sana kwa ajili ya generation hii. Myles Munroe once said graveyards zina utajiri mkubwa sana sababu ya people who passed with so much ideas, informations, dreams; tunaomba tupatie madini uliyo nayo kichwani sir.
 
Aise,nawajua wale watoto wake kuna mmja yule alikuwaga Bank anapiga kazi
Vp kasambala yule mwingine alikuwa bosi tanesco zamani,inasemekana alikuwa akili kubwa sana

Ova
Dr Kasambala wa Muhimbili na Jerry Kasambala wa TANESCO wana undugu lakini watu wawili tofauti. Tony Kasambala alikuwa Bank lakini sijaonana naye miaka sasa.
 
Profesa mtambuzi wa vifo llkn kashindwa kujua yeye lini atakufa.
Allah akbar.
Mtume Muhammad watu walimuuliza kuhusu kifo. AKAWAAMBIA ANAOJUA KIFO NI ALLAH PEKEE YAKE

Chizi kweli wewe hii sasa imeingiaje hapa na huyo mtume wako kaingiaje hapa

Wee ni zuzu eboo
 
Pascal unahitajika sana kujulikana kwa kizazi hiki. wakipatikana interviewers makini wasio na harakana walio very matured unaweza kutoa madini mengi sana kwa ajili ya generation hii. Myles Munroe once said graveyards zina utajiri mkubwa sana sababu ya people who passed with so much ideas, informations, dreams; tunaomba tupatie madini uliyo nayo kichwani sir.
Tatizo lake yuko biased sana linapokuja suala la CCM,vinginevyo ni hazina kubwa.
 
Rashid Mfaume Kawawa
1st Prime Minister TANGANYIKA: Julius Kambarage Nyerere, 1961-1962
1st Prime Minister TANZANIA: Rashid Mfaume Kawawa, 1962
1962-1972-NO PRIME MINISTER
1972-1980 Edward Sokoine
1980-1983 Cleopa Msuya
1983-1984 Edward Sokoine until.......
1702115130133.png
 
Back
Top Bottom