Professor Geoffrey R. Mmari afariki Dunia.

Aliipata Mwaka gani hiyo Diploma
Kuipata mwaka gani haina maana

Huo mwaka hawakuwa wanatoa digrii au advance diploma?

Miaka ya sasa watoto wanapata Div 1 na wanaenda kusoma certificate au diploma..

Je, yeye lilikuwa chaguo lake hilo kwenda kusoma diploma tena ya elimu? Huku wengine wakisoma Eng. Laws na Udaktari?

Alikuwa kilaza ambaye elimu haikumnufaisha zaidi ya kuajiriwa na kuishi katika utumwa wa ajira hata baada ya kustaafu utumishi wa umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…