snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
inakuwaje mtu anaenda kusoma na kufeli? lol
Naomba sponsorship i see!
inakuwaje mtu anaenda kusoma na kufeli? lol
hahahahahah lol Kongosho.
Mi nikifanya hii kozi nataka PHD ya Uhalali ..
Sitaki za bure maaana si halali ..
HAlafu kila ntakacho fanyia research nata ka niweke kwenye "Action" lol
Nitumieni date ya kujiunga na chuo jamani ..
Mmh, kozi zinaanza wakati wa summer (hivi Dar kuna summer kweli?)
Mmh, nakusubiri wakati wa risechi, kukusanya data sio mchezo
Na ili risechi iwe valid angalau uwe na hojaji 200
Naomba sponsorship i see!
inakuwaje mtu anaenda kusoma na kufeli? lol
Na wewe utahamia?
Una uhakika?
Kianzio ni mwili na maungo yako yote yawe FIT...
Maana kuna wakati inabidi ukunjwe ka gurudumu!!
Ng'ombe hazeeki maini, na ujuzi hauzeekiaaaaah wapi umri unanitupa mkono nawaachia damu chaga
Uende kusoma au kufundisha?lol
King kong unafanya kazi gani
Hulali usiku?