Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 60,453
- 122,547
Jamani wadau na wanazuoni wajukwaa hili naomba kujuzwa kuhusu hili. Kuna tangazo la nafasi za kazi Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto. Wanataka walimu wa kufundisha vyuo vya maendeleo ya wananchi..... Katika viambatanisho vilivyotajwa kuna hii kitu inaitwa 'professional certificate from respective boards' kwa kiswahili 'cheti cha kitaaluma'. Sasa naomba kujuzwa hii ni mara ya pili naona hii kitu siielewi...
Kinatolewa wapi? Ni watu professional gani wanatakiwa kuwa nacho? Utaratibu wa kukipata ukoje? Umuhimu wake uko vipi yan ukiacha hawa wanaohitaji uambatanishe kuna sehemu gani nyingine ambapo huwa kinahitajika?
Natanguliza shukrani