We umeapply post ipi? mimi pia hizi nimeapply
kumbe na magistrate anapaswa awe nacho? Ata wa mahakama ya mwanzo? (angalia vizuri ulichokiandika, nadhani kuna upotoshaji usio wa makusudi)
Mimi sijaapply maana nimeona hiyo professional certificate sina na vilevile sikuwa na uhakika kama kozi yangu nliyosoma itakubalika though barua niliandika kabisa na nikaandaa na copy za vyeti.....nimejivuta kupeleka hadi deadline imefika ambayo ndo leo
Ahh ungeapply tu hio professional certificates inawekwa kila wakitangaza kaz pale kwenye maelezo yao hii inaaply kwa wale ambao inabidi wapitie professional board kwa ajili ya mitihani yao