Emma Lukosi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2009
- 929
- 147
YES IT IS.
Kwanza tunapaswa kujua kuwa nafasi ya Ukurugenzi waWizara, au Ukatibu Mkuu/Naibu unamchakato wake. Nafasi ya Naibu katibu Mkuu ni nafasi ya kuteuliwa na Rais. Watu wanaoteuliwa kwa nafasi hizo ni wale ambao pamoja na vigezo vingine vilivyoaninishwa na mteuaji nadhani wawe na 1. Record nzuri ya utendaji kwa kazi zao za nyuma, 2. Uwezo katika nafasi wanayoteuliwa. Sasa mkuu mimi nilidhani unakuja na Hoja ya kueleza kushindwa kudeliver kwa Mh. Prof. Ole Gabriel kwa ushahihidi ulio wazi na usio acha mashaka yoyote. Idadi ya Maprofesor walioajiriwa na chuo nilichosoma haina uhusiano wowote na quality ya elimu niliyoipata, na kama unachallenge mfumo wa utoaji wa elimu wa chuo ambacho Ole Gabriel alipata PhD yake basi hilo ni tatizo la Chuo na mfumo wa nchi husika na wala haliwezi kuwa tatizo lake yeye.
1. Mkuu kwa mfano mimi namiliki banda la nyasi ukija kulala kwangu utasema
umelala hotel ya nyota tano kwa sababu wewe umelipia bei ya 5 * hotel?.
Haya turudi kwenye uhalisia. Kikundi cha wahuni wasiofika hata darasa la saba wame kuaward wewe cheti cha
uudaktari utasema Hakuna tatizo kwangu ila tatizo liko kwao?.
2. Rahisi (mfano wa Rais) wako ni kilaza na yeye hiyo Phd yake ni yakupewa kama ya kwako.
3. Mtu aliye forge vyeti atashindwaje kuforge wasifu na utendaji?
btw Rahisi wako sio mtendaji atawajuaje hao watendaji?.
Kwanza hii serikali inatumia kipimo kipi cha utendaji?
malipo hewa .. haya nayo yanawezekana vp?.
Phd yako ni feki