Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,618
kWA HIYO UNATAKA KUSEMA NINI?
Prof Gabriel husaidia watu kuandika, siyo anawaandikia. Unaona vibaya kwa vile ni naibu katibu mkuu?
Ukweli ni kuwa, Prof. au Dr Ole Gabriel ni hodari wa kuji market. Ni aggressive. Sasa kama wewe unakaa tu huapply elimu yako practically - kalabhaghao!
Gabriel amefundisha IFM na MZUMBE na consultant wa EDENCONSULT na huwezi shindana naye kwenye pitch and he is innovative.
Kama wewe ni kama prof Muhongo tuambie lakini acha kumwonea wivu Ole Gabriel. Amesoma vitu vingi japo kaunga unga
Kabla huyo hodari wako ''wa kuji-market'' hajaumbuliwa tuambie kwanza hiki chuo chake (Preson University, Finland). kiko sehemu gani hapa duniani!
hodari wangU????
Nimemfahamu Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo siku nyingi kidogo wakati nikifanya Master's yangu kwenye
chuo fulani kikubwa hapa Tanzania na Afrika.
Kulingana na majukumu mazito niliyokuwa nayo, rafiki yangu mmoja alinitambulisha kwa Professa huyu ili aweze
kuniandikia research yangu ambayo ningeipeleka Chuoni ili kupata masters.
Alijitambulisha kuwa yeye ni profesa, nikaingiwa shaka kwakuwa ninachojua ni kuwa maprofessa hawajishughulishi na udanganyifu kama huu. Tukakubaliana bei ingawa baadae sikuweza kumwendea tena anisaidie. Wakati anajitambulisha alijimwagia sifa kede kede kuwa ameshawaandikia watu wengi sana research zao, hasa watu wa masters wakiwemo wanafunzi wake mwenyewe wa Mzumbe.
Baadae nikasikia amekuwa mkurugenzi wa michezo mara ghafla akawa naibu katibu mkuu. Anaitwa professa, Elisante Ole Gabriel. Nikaanza kupekua kuona uprofessa wake kautoa wapi? Ni chuo kipi kimempa uprofessa?
Kwanza nikakutana na CV yake iliyoko kwenye website yake ya biashara ya kuwaandikia watu research.
Lakini hakuna hata mahali pamoja anapotaja chuo alichosoma bachelor degree wala Masters. Sana sana anataja kuwa ni vyuo vya UK baas.
Kwenye Uprofessa akashindwa kuficha, kwanza hajawa full proffessor. Ni associate professor. Ameandika kuwa amepewa u-associate proffessor na chuo cha Preston University.
Kwa munibu wa wikipedia chuo hicho SIO Accredited University. Ni chuo cha mitaani tu.Preston University - Wikipedia, the free encyclopedia.
Nimehakikishiwa pia kuwa hata digrii zake za awali amezipata kwenye chuo hiki hiki. Na hadi anakuwa Naibu katibu mkuu, alikuwa ni SENIOR LECTURER wa Mzumbe University.
Na serikali ya CCM imemwamini zaidi, inaamini ni professor, na wamempa ulaji zaidi.
Udanganyifu kama huu katika elimu unaiumiza elimu yetu, unaumiza mustakabali wa Elimu wa Tanzania. Mtu aliyeghushi na asiye na sifa za kuwa hata tutorial assistant eti ndiye anaitwa Senior Lecturer kwenye chuo kikubwa kama Mzumbe.
Tanzama maelezo yake hapa Chini.
http://www.olegabriel.com/publication-web-Gab/CV-Gabriel.pdf
Dr Gabriel Elisante has a vast scope of the knowledge base.
He studied
Mechanical Engineering then Business Administration before getting to Materials
in Europe. He did his Masters of Science in International Business in UK. He also
did a Postgraduate Diploma in Marketing (UK).Finally, started his PhD in UK and
completed it in Finland. Upon completion of his PhD, he was awarded a title of
Associate Professor of Marketing with the Preson University, Finland.
kWA HIYO UNATAKA KUSEMA NINI?
Prof Gabriel husaidia watu kuandika, siyo anawaandikia. Unaona vibaya kwa vile ni naibu katibu mkuu?
Ukweli ni kuwa, Prof. au Dr Ole Gabriel ni hodari wa kuji market. Ni aggressive. Sasa kama wewe unakaa tu huapply elimu yako practically - kalabhaghao!
Gabriel amefundisha IFM na MZUMBE na consultant wa EDENCONSULT na huwezi shindana naye kwenye pitch and he is innovative.
Kama wewe ni kama prof Muhongo tuambie lakini acha kumwonea wivu Ole Gabriel. Amesoma vitu vingi japo kaunga unga
....................................[snip]...Tanzama maelezo yake hapa Chini.
http://www.olegabriel.com/publication-web-Gab/CV-Gabriel.pdf
Dr Gabriel Elisante has a vast scope of the knowledge base.
He studied Mechanical Engineering then Business Administration before getting to Materials in Europe. He did his Masters of Science in International Business in UK. He also did a Postgraduate Diploma in Marketing (UK). Finally, started his PhD in UK and completed it in Finland. Upon completion of his PhD, he was awarded a title of Associate Professor of Marketing with the Preson University, Finland.
kWA HIYO UNATAKA KUSEMA NINI?
Prof Gabriel husaidia watu kuandika, siyo anawaandikia. Unaona vibaya kwa vile ni naibu katibu mkuu?
Ukweli ni kuwa, Prof. au Dr Ole Gabriel ni hodari wa kuji market. Ni aggressive. Sasa kama wewe unakaa tu huapply elimu yako practically - kalabhaghao!
Gabriel amefundisha IFM na MZUMBE na consultant wa EDENCONSULT na huwezi shindana naye kwenye pitch and he is innovative.
Kama wewe ni kama prof Muhongo tuambie lakini acha kumwonea wivu Ole Gabriel. Amesoma vitu vingi japo kaunga unga
Ona hiki chuo chako.... cha kwenye mtandao... Preston University Finland :: Home
Nimemfahamu Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo siku nyingi kidogo wakati nikifanya Master's yangu kwenye
chuo fulani kikubwa hapa Tanzania na Afrika.
Kulingana na majukumu mazito niliyokuwa nayo, rafiki yangu mmoja alinitambulisha kwa Professa huyu ili aweze
kuniandikia research yangu ambayo ningeipeleka Chuoni ili kupata masters.
Alijitambulisha kuwa yeye ni profesa, nikaingiwa shaka kwakuwa ninachojua ni kuwa maprofessa hawajishughulishi na udanganyifu kama huu. Tukakubaliana bei ingawa baadae sikuweza kumwendea tena anisaidie. Wakati anajitambulisha alijimwagia sifa kede kede kuwa ameshawaandikia watu wengi sana research zao, hasa watu wa masters wakiwemo wanafunzi wake mwenyewe wa Mzumbe.
Baadae nikasikia amekuwa mkurugenzi wa michezo mara ghafla akawa naibu katibu mkuu. Anaitwa professa, Elisante Ole Gabriel. Nikaanza kupekua kuona uprofessa wake kautoa wapi? Ni chuo kipi kimempa uprofessa?
Kwanza nikakutana na CV yake iliyoko kwenye website yake ya biashara ya kuwaandikia watu research.
Lakini hakuna hata mahali pamoja anapotaja chuo alichosoma bachelor degree wala Masters. Sana sana anataja kuwa ni vyuo vya UK baas.
Kwenye Uprofessa akashindwa kuficha, kwanza hajawa full proffessor. Ni associate professor. Ameandika kuwa amepewa u-associate proffessor na chuo cha Preston University.
Kwa munibu wa wikipedia chuo hicho SIO Accredited University. Ni chuo cha mitaani tu.Preston University - Wikipedia, the free encyclopedia.
Nimehakikishiwa pia kuwa hata digrii zake za awali amezipata kwenye chuo hiki hiki. Na hadi anakuwa Naibu katibu mkuu, alikuwa ni SENIOR LECTURER wa Mzumbe University.
Na serikali ya CCM imemwamini zaidi, inaamini ni professor, na wamempa ulaji zaidi.
Udanganyifu kama huu katika elimu unaiumiza elimu yetu, unaumiza mustakabali wa Elimu wa Tanzania. Mtu aliyeghushi na asiye na sifa za kuwa hata tutorial assistant eti ndiye anaitwa Senior Lecturer kwenye chuo kikubwa kama Mzumbe.
Tanzama maelezo yake hapa Chini.
http://www.olegabriel.com/publication-web-Gab/CV-Gabriel.pdf
Dr Gabriel Elisante has a vast scope of the knowledge base.
He studied
Mechanical Engineering then Business Administration before getting to Materials
in Europe. He did his Masters of Science in International Business in UK. He also
did a Postgraduate Diploma in Marketing (UK).Finally, started his PhD in UK and
completed it in Finland. Upon completion of his PhD, he was awarded a title of
Associate Professor of Marketing with the Preson University, Finland.
kWA HIYO UNATAKA KUSEMA NINI?
Prof Gabriel husaidia watu kuandika, siyo anawaandikia. Unaona vibaya kwa vile ni naibu katibu mkuu?
Ukweli ni kuwa, Prof. au Dr Ole Gabriel ni hodari wa kuji market. Ni aggressive. Sasa kama wewe unakaa tu huapply elimu yako practically - kalabhaghao!
Gabriel amefundisha IFM na MZUMBE na consultant wa EDENCONSULT na huwezi shindana naye kwenye pitch and he is innovative.
Kama wewe ni kama prof Muhongo tuambie lakini acha kumwonea wivu Ole Gabriel. Amesoma vitu vingi japo kaunga unga
Kiongozi, Ingewezekana kupata membership kwenye hizi Board bila kuwa na uwezo na Elimu stahiki??
He is a member of the following professional Institutions;
§ Chartered Institute of Marketing (UK)
§ Institution of Engineers, Tanzania.
§ National Board of Accountants and Auditors
§ National Board of material Management.
Mtazamo wangu ni kwa Mtoa hoja, nadhani mto hoja kuna Jambo ambalo amechanganya kweye Hoja yake aMingi na hii kutuaaachangiai tushindwe kuelewa direction ya michango yetu. Je Unahoji ubora wa elimu aliyo nayo Mh. Ole Gabriel kwa kuangalia ubora wa Vyu aivyosoma? au Unahoji kweli wa kuwa alisoa katika vyuo hivyo? Kwanza ukiweka Hoj yako sawa then tunawezakuja na majibu Muafaka kwa wasiwasi wako.
kwa mzumbe ni janga wapo wengi sana na ndipo walikosoma wakina nchimbi.