Professa Gabriel wa wizara ya michezo ana elimu ya kughushi?

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,614
Nimemfahamu Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo siku nyingi kidogo wakati nikifanya Master's yangu kwenye

chuo fulani kikubwa hapa Tanzania na Afrika.

Kulingana na majukumu mazito niliyokuwa nayo, rafiki yangu mmoja alinitambulisha kwa Professa huyu ili aweze

kuniandikia research yangu ambayo ningeipeleka Chuoni ili kupata masters.

Alijitambulisha kuwa yeye ni profesa, nikaingiwa shaka kwakuwa ninachojua ni kuwa maprofessa hawajishughulishi na udanganyifu kama huu. Tukakubaliana bei ingawa baadae sikuweza kumwendea tena anisaidie. Wakati anajitambulisha alijimwagia sifa kede kede kuwa ameshawaandikia watu wengi sana research zao, hasa watu wa masters wakiwemo wanafunzi wake mwenyewe wa Mzumbe.

Baadae nikasikia amekuwa mkurugenzi wa michezo mara ghafla akawa naibu katibu mkuu. Anaitwa professa, Elisante Ole Gabriel. Nikaanza kupekua kuona uprofessa wake kautoa wapi? Ni chuo kipi kimempa uprofessa?

Kwanza nikakutana na CV yake iliyoko kwenye website yake ya biashara ya kuwaandikia watu research.

Lakini hakuna hata mahali pamoja anapotaja chuo alichosoma bachelor degree wala Masters. Sana sana anataja kuwa ni vyuo vya UK baas.

Kwenye Uprofessa akashindwa kuficha, kwanza hajawa full proffessor. Ni associate professor. Ameandika kuwa amepewa u-associate proffessor na chuo cha Preston University.

Kwa munibu wa wikipedia chuo hicho SIO Accredited University. Ni chuo cha mitaani tu.Preston University - Wikipedia, the free encyclopedia.

Nimehakikishiwa pia kuwa hata digrii zake za awali amezipata kwenye chuo hiki hiki. Na hadi anakuwa Naibu katibu mkuu, alikuwa ni SENIOR LECTURER wa Mzumbe University.

Na serikali ya CCM imemwamini zaidi, inaamini ni professor, na wamempa ulaji zaidi.

Udanganyifu kama huu katika elimu unaiumiza elimu yetu, unaumiza mustakabali wa Elimu wa Tanzania. Mtu aliyeghushi na asiye na sifa za kuwa hata tutorial assistant eti ndiye anaitwa Senior Lecturer kwenye chuo kikubwa kama Mzumbe.

Tanzama maelezo yake hapa Chini.

http://www.olegabriel.com/publication-web-Gab/CV-Gabriel.pdf

Dr Gabriel Elisante has a vast scope of the knowledge base.

He studied

Mechanical Engineering then Business Administration before getting to Materials

in Europe. He did his Masters of Science in International Business in UK. He also

did a Postgraduate Diploma in Marketing (UK).Finally, started his PhD in UK and

completed it in Finland. Upon completion of his PhD, he was awarded a title of

Associate Professor of Marketing with the Preson University, Finland.

Kama ni kweli kagushi au kasoma vyuo visivyotambulika basi ni balaa kubwa.ndio maana tanzania inaendelea kuwa maskini.
 
kWA HIYO UNATAKA KUSEMA NINI?

Prof Gabriel husaidia watu kuandika, siyo anawaandikia. Unaona vibaya kwa vile ni naibu katibu mkuu?
Ukweli ni kuwa, Prof. au Dr Ole Gabriel ni hodari wa kuji market. Ni aggressive. Sasa kama wewe unakaa tu huapply elimu yako practically - kalabhaghao!
Gabriel amefundisha IFM na MZUMBE na consultant wa EDENCONSULT na huwezi shindana naye kwenye pitch and he is innovative.
Kama wewe ni kama prof Muhongo tuambie lakini acha kumwonea wivu Ole Gabriel. Amesoma vitu vingi japo kaunga unga
 
Kabla huyo hodari wako ''wa kuji-market'' hajaumbuliwa tuambie kwanza hiki chuo chake (Preson University, Finland). kiko sehemu gani hapa duniani!
 
Nimemfahamu Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo siku nyingi kidogo wakati nikifanya Master's yangu kwenye

chuo fulani kikubwa hapa Tanzania na Afrika.

Kulingana na majukumu mazito niliyokuwa nayo, rafiki yangu mmoja alinitambulisha kwa Professa huyu ili aweze

kuniandikia research yangu ambayo ningeipeleka Chuoni ili kupata masters.

Alijitambulisha kuwa yeye ni profesa, nikaingiwa shaka kwakuwa ninachojua ni kuwa maprofessa hawajishughulishi na udanganyifu kama huu. Tukakubaliana bei ingawa baadae sikuweza kumwendea tena anisaidie. Wakati anajitambulisha alijimwagia sifa kede kede kuwa ameshawaandikia watu wengi sana research zao, hasa watu wa masters wakiwemo wanafunzi wake mwenyewe wa Mzumbe.

Baadae nikasikia amekuwa mkurugenzi wa michezo mara ghafla akawa naibu katibu mkuu. Anaitwa professa, Elisante Ole Gabriel. Nikaanza kupekua kuona uprofessa wake kautoa wapi? Ni chuo kipi kimempa uprofessa?

Kwanza nikakutana na CV yake iliyoko kwenye website yake ya biashara ya kuwaandikia watu research.

Lakini hakuna hata mahali pamoja anapotaja chuo alichosoma bachelor degree wala Masters. Sana sana anataja kuwa ni vyuo vya UK baas.

Kwenye Uprofessa akashindwa kuficha, kwanza hajawa full proffessor. Ni associate professor. Ameandika kuwa amepewa u-associate proffessor na chuo cha Preston University.

Kwa munibu wa wikipedia chuo hicho SIO Accredited University. Ni chuo cha mitaani tu.Preston University - Wikipedia, the free encyclopedia.

Nimehakikishiwa pia kuwa hata digrii zake za awali amezipata kwenye chuo hiki hiki. Na hadi anakuwa Naibu katibu mkuu, alikuwa ni SENIOR LECTURER wa Mzumbe University.

Na serikali ya CCM imemwamini zaidi, inaamini ni professor, na wamempa ulaji zaidi.

Udanganyifu kama huu katika elimu unaiumiza elimu yetu, unaumiza mustakabali wa Elimu wa Tanzania. Mtu aliyeghushi na asiye na sifa za kuwa hata tutorial assistant eti ndiye anaitwa Senior Lecturer kwenye chuo kikubwa kama Mzumbe.

Tanzama maelezo yake hapa Chini.

http://www.olegabriel.com/publication-web-Gab/CV-Gabriel.pdf

Dr Gabriel Elisante has a vast scope of the knowledge base.

He studied

Mechanical Engineering then Business Administration before getting to Materials

in Europe. He did his Masters of Science in International Business in UK. He also

did a Postgraduate Diploma in Marketing (UK).Finally, started his PhD in UK and

completed it in Finland. Upon completion of his PhD, he was awarded a title of

Associate Professor of Marketing with the Preson University, Finland.

weka picha
 
kWA HIYO UNATAKA KUSEMA NINI?

Prof Gabriel husaidia watu kuandika, siyo anawaandikia. Unaona vibaya kwa vile ni naibu katibu mkuu?
Ukweli ni kuwa, Prof. au Dr Ole Gabriel ni hodari wa kuji market. Ni aggressive. Sasa kama wewe unakaa tu huapply elimu yako practically - kalabhaghao!
Gabriel amefundisha IFM na MZUMBE na consultant wa EDENCONSULT na huwezi shindana naye kwenye pitch and he is innovative.
Kama wewe ni kama prof Muhongo tuambie lakini acha kumwonea wivu Ole Gabriel. Amesoma vitu vingi japo kaunga unga

Ona hiki chuo chako.... cha kwenye mtandao... Preston University Finland :: Home
 
....................................[snip]...Tanzama maelezo yake hapa Chini.

http://www.olegabriel.com/publication-web-Gab/CV-Gabriel.pdf

Dr Gabriel Elisante has a vast scope of the knowledge base.

He studied
Mechanical Engineering then Business Administration before getting to Materials in Europe. He did his Masters of Science in International Business in UK. He also did a Postgraduate Diploma in Marketing (UK). Finally, started his PhD in UK and completed it in Finland. Upon completion of his PhD, he was awarded a title of Associate Professor of Marketing with the Preson University, Finland.

Wewe kweli nimekuelewa na kasoro ninaziona nyingi ktk maelezo yanayopatikana ktk mtandao.

Sasa hebu angalia upuuzi ulioandikwa hapo chini na mtu ambaye nahisi ana vizia elimu ya aina hiyo. Yeye anaiita kuunga unga, mimi nasema elimu ya undanganyifu.

kWA HIYO UNATAKA KUSEMA NINI?

Prof Gabriel husaidia watu kuandika, siyo anawaandikia. Unaona vibaya kwa vile ni naibu katibu mkuu?
Ukweli ni kuwa, Prof. au Dr Ole Gabriel ni hodari wa kuji market. Ni aggressive. Sasa kama wewe unakaa tu huapply elimu yako practically - kalabhaghao!
Gabriel amefundisha IFM na MZUMBE na consultant wa EDENCONSULT na huwezi shindana naye kwenye pitch and he is innovative.
Kama wewe ni kama prof Muhongo tuambie lakini acha kumwonea wivu Ole Gabriel. Amesoma vitu vingi japo kaunga unga

Wewe Moony, nauona upuuzi ktk message yako. Unachojaribu kutukuza ni ujanja ujanja na unauweka kuwa ni sawa na elimu ya shuleni. Sisi hatuhitaji kuelewa alivyofundisha IFM na Mzumbe na hili au lile. Ni aibu kwamba unaweza kuwa ulifundishwa na tapeli wa aina hii. Ni wazi huwezi kuwa mtu wa tofauti na yeye.

Hatuhitaji watu wenye kupindisha mtitliliko wa maisha yao kwa makusudi, bila sifa eti wewe au wenzako wawe mashuhuda wa ubora wake. shule haihitaji shuhuda zaidi ya uhalali wa chuo na mwanafunzi mwenyewe.
 
Ndio maana wameamua kuanzisha big results now maana watendaji wao wengi serikalini ni vilaza hawawezi ku-delivery.

Hii slogan ya big results now ikipita sijui watakuja na ipi. Naomba Mungu anipe maisha niendelee kuona viroja vya CCM kwa Wadanganyika.
 
Ona hiki chuo chako.... cha kwenye mtandao... Preston University Finland :: Home

Dr. Elisante Gabriel
Professor of Marketing Education:
* PhD - Marketing (Preston University Finland & USA)
* MSc - International Business (Salford University, UK
* Advanced Diploma in Business Administration (Mzumbe, Tanzania)
Tel: +255 78 4455 499
elisante_gabriel(at)yahoo.com

Hayo ndio majibu kutoka kwenye hiyo website ya chuo. Kwenye maelezo PhD kaanzia UK kamalizia Finland, hapa wanasema Finland na USA. Pia kwenye CV wanasema ana elements za Engineering, hapa naona iko smooth-kitu ADBA, MSC, PhD. Na zaidi Chuo kinatoa PhD na Masters ila kina staff wa4 tu na Rais wa Chuo mmoja. Jamani-jamani nchi hii, ndio maana hakuna deliverance.
 
Nimemfahamu Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo siku nyingi kidogo wakati nikifanya Master's yangu kwenye

chuo fulani kikubwa hapa Tanzania na Afrika.

Kulingana na majukumu mazito niliyokuwa nayo, rafiki yangu mmoja alinitambulisha kwa Professa huyu ili aweze

kuniandikia research yangu ambayo ningeipeleka Chuoni ili kupata masters.

Alijitambulisha kuwa yeye ni profesa, nikaingiwa shaka kwakuwa ninachojua ni kuwa maprofessa hawajishughulishi na udanganyifu kama huu. Tukakubaliana bei ingawa baadae sikuweza kumwendea tena anisaidie. Wakati anajitambulisha alijimwagia sifa kede kede kuwa ameshawaandikia watu wengi sana research zao, hasa watu wa masters wakiwemo wanafunzi wake mwenyewe wa Mzumbe.

Baadae nikasikia amekuwa mkurugenzi wa michezo mara ghafla akawa naibu katibu mkuu. Anaitwa professa, Elisante Ole Gabriel. Nikaanza kupekua kuona uprofessa wake kautoa wapi? Ni chuo kipi kimempa uprofessa?

Kwanza nikakutana na CV yake iliyoko kwenye website yake ya biashara ya kuwaandikia watu research.

Lakini hakuna hata mahali pamoja anapotaja chuo alichosoma bachelor degree wala Masters. Sana sana anataja kuwa ni vyuo vya UK baas.

Kwenye Uprofessa akashindwa kuficha, kwanza hajawa full proffessor. Ni associate professor. Ameandika kuwa amepewa u-associate proffessor na chuo cha Preston University.

Kwa munibu wa wikipedia chuo hicho SIO Accredited University. Ni chuo cha mitaani tu.Preston University - Wikipedia, the free encyclopedia.

Nimehakikishiwa pia kuwa hata digrii zake za awali amezipata kwenye chuo hiki hiki. Na hadi anakuwa Naibu katibu mkuu, alikuwa ni SENIOR LECTURER wa Mzumbe University.

Na serikali ya CCM imemwamini zaidi, inaamini ni professor, na wamempa ulaji zaidi.

Udanganyifu kama huu katika elimu unaiumiza elimu yetu, unaumiza mustakabali wa Elimu wa Tanzania. Mtu aliyeghushi na asiye na sifa za kuwa hata tutorial assistant eti ndiye anaitwa Senior Lecturer kwenye chuo kikubwa kama Mzumbe.

Tanzama maelezo yake hapa Chini.

http://www.olegabriel.com/publication-web-Gab/CV-Gabriel.pdf

Dr Gabriel Elisante has a vast scope of the knowledge base.

He studied

Mechanical Engineering then Business Administration before getting to Materials

in Europe. He did his Masters of Science in International Business in UK. He also

did a Postgraduate Diploma in Marketing (UK).Finally, started his PhD in UK and

completed it in Finland. Upon completion of his PhD, he was awarded a title of

Associate Professor of Marketing with the Preson University, Finland.

Hatari sana, wapo wengi sana huko mawizarani . Ukihudhuria mikutano seminar halafu ndio wawe wanawasilisha mada utachoka mwenyewe kwa uwezo wao ulivyo mwembamba.
 
kWA HIYO UNATAKA KUSEMA NINI?

Prof Gabriel husaidia watu kuandika, siyo anawaandikia. Unaona vibaya kwa vile ni naibu katibu mkuu?
Ukweli ni kuwa, Prof. au Dr Ole Gabriel ni hodari wa kuji market. Ni aggressive. Sasa kama wewe unakaa tu huapply elimu yako practically - kalabhaghao!
Gabriel amefundisha IFM na MZUMBE na consultant wa EDENCONSULT na huwezi shindana naye kwenye pitch and he is innovative.
Kama wewe ni kama prof Muhongo tuambie lakini acha kumwonea wivu Ole Gabriel. Amesoma vitu vingi japo kaunga unga

Nadhani utakua una matatizo, kwann uwe na wasi wasi na uprofessor wa muhongo na sio wa Gabriel,
Mtoa mada ameelezea wasi wasi wake kwa ushaidi, sasa tulitarajia upinge kwa hoja na ushaidi badala ya kutetea mijitu inayoghushi na kunyima watu wenye uwezo nafasi, ndy maana serikalini urasimu haupungui ni kutokana na mijitu kama nyie mnaofoji hata qualifications.
 
Kiongozi, Ingewezekana kupata membership kwenye hizi Board bila kuwa na uwezo na Elimu stahiki??
He is a member of the following professional Institutions;
§ Chartered Institute of Marketing (UK)
§ Institution of Engineers, Tanzania.
§ National Board of Accountants and Auditors
§ National Board of material Management.
Mtazamo wangu ni kwa Mtoa hoja, nadhani mto hoja kuna Jambo ambalo amechanganya kweye Hoja yake aMingi na hii kutuaaachangiai tushindwe kuelewa direction ya michango yetu. Je Unahoji ubora wa elimu aliyo nayo Mh. Ole Gabriel kwa kuangalia ubora wa Vyu aivyosoma? au Unahoji kweli wa kuwa alisoa katika vyuo hivyo? Kwanza ukiweka Hoj yako sawa then tunawezakuja na majibu Muafaka kwa wasiwasi wako.
 
Hawa CCM walishatuharibia nchi. Itachukua miaka mingine 50 kuirudisha kwenye mstari. Lakini hiyo itawezekana tu kama wataondoka madarakani.
 
Kiongozi, Ingewezekana kupata membership kwenye hizi Board bila kuwa na uwezo na Elimu stahiki??
He is a member of the following professional Institutions;
§ Chartered Institute of Marketing (UK)
§ Institution of Engineers, Tanzania.
§ National Board of Accountants and Auditors
§ National Board of material Management.
Mtazamo wangu ni kwa Mtoa hoja, nadhani mto hoja kuna Jambo ambalo amechanganya kweye Hoja yake aMingi na hii kutuaaachangiai tushindwe kuelewa direction ya michango yetu. Je Unahoji ubora wa elimu aliyo nayo Mh. Ole Gabriel kwa kuangalia ubora wa Vyu aivyosoma? au Unahoji kweli wa kuwa alisoa katika vyuo hivyo? Kwanza ukiweka Hoj yako sawa then tunawezakuja na majibu Muafaka kwa wasiwasi wako.

4 UR Business Solution

is this part of ya bulshit
?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom