Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Ulikuwa unataka kumaanisha nini?Wa tz ni scotland yard (not sure of spellings)
Seriously!?Nakumbuka jinsi alivyokuwa shushushu matata ( refer kitabu the dark side of nyerere )
correction, nilichanganya na yule marehemu mnajibu, yeye ndo alikuwa shushushu. ( Y. Husein)Seriously!?
Ni kweli kwamba yule mzee alikuwa ni secret agent au ni hadithi tu za changamsha genge?correction, nilichanganya na yule marehemu mnajibu, yeye ndo alikuwa shushushu. ( Y. Husein)
Nkweli, kutokana na walio onja jeuri ya Julius wanasema hivyo.Ni kweli kwamba yule mzee alikuwa ni secret agent au ni hadithi tu za changamsha genge?
What is the meaning of "TBT"Mambo ya TBT
😀😀😀😀😀😀 ahahah walikuja nazo wenyewe mfukoninamkumbuka huyu jamaa kitambo hicho aliitwa homu aje kutoa mapepo nikiwa bado mdogo sana!alikuwa na wanafunzi wake kama wa4 hivi wakapanda darini wakashuka na mahirizi eti yalikuwa yametegwa huko juu