All african intellectuals are gone.. Znabaki phd za heshima tu.
all african interrectual are gone..
R I P Mama Wangai..
Ningependa kujua zaidi je amefariki kwa ugonjwa au kwa tatizo gani kwani hivi majuzi tu alikuwa mzima wa afya
Yule mwanaharakat wa mazingira nchini kenya profesa Maathai amefariki dunia,kama mnakumbuka mama huyu aliwah kupokea tuzo ya nobel ya utunzaj wa mazingira
sosi:bbc swahil
Ningependa kujua zaidi je amefariki kwa ugonjwa au kwa tatizo gani kwani hivi majuzi tu alikuwa mzima wa afya
All in all huyu mama ameitumia elim yake kwa manufaa ya WAKENYA,,,,,,wasom wa namna hii kuwapata ni shida sana,,,,,weengi huwa ni waramba nyayo kwa wanasiasa
Mama mahiri kweli. Enzi za Moi alizuia Uhuru park pale Nairobi kuporwa na wanasiasa. Pia aliongoza harakati ya kuokoa ngong forest kutoka kwa wavamizi. RIP Wangari Mathai.