usimlaumu sana ni mfumo mbovu wa utendaji amesema Dr.Slaa ataumweke malaika ndani ya mfumo wa ccm tulionao hivi hatowez kufanya kazi. huyu mzee aliingia kwa kasi akaunda tume ya kuchunguza mikataba mibovu ripoti ilivyorudi imejaa mafisadi chungu mzima akasema hatuwezi kufanya lolote itabidi tuitumie hii ripoti kwa mikataba ijayo nikajua basi amekwishamalizika. what is going to stop others from doing the same things if you don't start from them??Mmoja wa mawaziri wataalam waliobobea kwenye masuala ya nishati na gas,
Wakati anateuliwa na Raisi nilifurahi sana kwani alianza kutoa ahadi za wananchi kufungiwa umeme kwa muda wa mwezi mmoja kama umelipa.
Nilijitahidi sana kutafuta hela ili nikaunganishiwe kwenye kibanda changu kilichoko eneo la usariver maeneo ya ngaresero nilijitahidi kukamilisha taratibu zote.
Hatimae zilikamilika januari 2013 chakushangaza mpaka leo hakuna kitu!
Wananchi wa eneo lile tulijitahidi ili tujiunge wa 3 ili tupatiwe nguzo 1 tu ili iweze kutufikia wote lakini wapi!
Kila ukienda ofisi ya Tanesko iliyoko maeneo ya usariver majibu ni kwamba subirini mpaka tumalize vijijini! Hivi hii ni haki kweli? Tangu january mpaka leo! Huu si ungwana hata kidogo.
SAME TIMES TUNAWASHUTUMU MAWAZIRI KUMBE HUKU CHINI WATENDAJI NI BOOM..
Waziri ebu fanya kazi
​Acha kudanganya Muhongo siyo mtaalamu wa nishati na gesi bali ni mtaalamu wa geology!
Sawa mkuu nilijua ni mtaalamu wa hayo mambo kumbe siyo..Nadhani mambo mengi yamehamia kwenye gesi ya mtwara na kusahau mangine..
​Acha kudanganya Muhongo siyo mtaalamu wa nishati na gesi bali ni mtaalamu wa geology!
Sure. Yeye kuwa waziri anatakiwa asikilize, kuwatambua, wataalamu waliobobea kwenye uchumi wa nishati, gesi, na madini. Kama hawapo je nchi inafanyaje kwenye vyuo. Sua kuna kozi ya Uchumi wa kilimo. (Agricultural economics). Ni nchi mbili tu duniani zina fundisha Mineral, gas, energy economics. USA na Australia.​Acha kudanganya Muhongo siyo mtaalamu wa nishati na gesi bali ni mtaalamu wa geology!
Kama nina kumbukumbu nzuri kuna vijana wapatao 200 ambao ama wamepelekwa au watapelekwa nje kusomea taaluma hizo!Sure. Yeye kuwa waziri anatakiwa asikilize, kuwatambua, wataalamu waliobobea kwenye uchumi wa nishati, gesi, na madini. Kama hawapo je nchi inafanyaje kwenye vyuo. Sua kuna kozi ya Uchumi wa kilimo. (Agricultural economics). Ni nchi mbili tu duniani zina fundisha Mineral, gas, energy economics. USA na Australia.