Azipa
JF-Expert Member
- Mar 19, 2012
- 1,069
- 322
Hivi sana wanasingizia miundombinu mibovu! Nipo njiani kuelekea Mahenge Ulanga, ngoja nikajionee!
Mkuu Mahenge na Ulanga ni maeneo mawili tofauti wewe unaelekea wapi hasa?
Hivi sana wanasingizia miundombinu mibovu! Nipo njiani kuelekea Mahenge Ulanga, ngoja nikajionee!
Nimesikia asubuhi ya leo katika kipindi cha mapitio ya magazeti ahadi ya Waziri wa Nishati na Madini Mh Prof. Sospeter kuwa mgao wa Umeme haupo na Hautakuwepo katika Tanzania hii.
Kwanza atambue kuwa ahadi hiyo tayari watangulizi wake walishaitoa na waliishia kuaibika.
La pili ni kwamba takribani kwa kipindi cha wiki moja sasa nipo katika wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, kwa kipindi hicho chote nilichokaa hapa nimeshuhudia Tatizo klubwa sana la kukatika kwa umeme, Karibu kila siku iendayo zake umeme unakatika. Kwa siku ya jana pekee, tar 20/10 umeme ulikatika mara 5. Leo tarehe 21/10, mara tu baada ya kipindi hicho cha mapitio ya magazeti umeme mahali hapa tayari umekatika. Naandika post hii saa 1 na nusu asubuhi hakuna umeme. Kwa hili profesa wangu umetokota vibaya.
Prof. Muhongo alikuja na gia kali kwenye hiyo wizara kama Tibaijuka nae alivyoingia pale wizara ya Ardhi na wote sasa wamelowa kama bata aliyenyeshewa mvua; chezea mkweree na mafia yake wewe!! Siku hizi mkweree hamuachi Muhongo kwenye ziara zake , ona alikwenda nae marekani, Canada [ kule akakutanishwa na Barrick ] na juzi Oman walikosaini mikataba mingi hata hawajui ni ya nini kwani muda wote walikuwa wanashangalia dali ya dhahabu!! Zote hizo zikiwa ni mbinu za kupunguza kasi yake!!
jamani anachosema professor ni kuwa hakutakuwa na mgao rasmi utakaotangazwa na tanesco au wizara.lakini mgao usio tangazwa utaendelea kuwepo na upo.hilo ni kwa sababu mpaka leo hatuja ongeza generation sasa tutatatua vipi tatizo la umeme.mgao utaisha vipi ikiwa kila kitu kiko vile vile?
Ile ni kauli ya kisiasa nashangaa kuna watu wanaiamini.
Ubaya wa hapa JF huwezi jua aliyeanzisha uzi ni nani na anamwangalia vipi anayemtuhumu. inawezekana kabisa aliyeanzisha uzi huu ni mwathilika wa juhudi za prof za kuondoa mgao wa umeme, anafanya juhudi kumvunja moyo ili dili lake liendelee...
Nimesikia asubuhi ya leo katika kipindi cha mapitio ya magazeti ahadi ya Waziri wa Nishati na Madini Mh Prof. Sospeter kuwa mgao wa Umeme haupo na Hautakuwepo katika Tanzania hii.
Kwanza atambue kuwa ahadi hiyo tayari watangulizi wake walishaitoa na waliishia kuaibika.
La pili ni kwamba takribani kwa kipindi cha wiki moja sasa nipo katika wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, kwa kipindi hicho chote nilichokaa hapa nimeshuhudia Tatizo klubwa sana la kukatika kwa umeme, Karibu kila siku iendayo zake umeme unakatika. Kwa siku ya jana pekee, tar 20/10 umeme ulikatika mara 5. Leo tarehe 21/10, mara tu baada ya kipindi hicho cha mapitio ya magazeti umeme mahali hapa tayari umekatika. Naandika post hii saa 1 na nusu asubuhi hakuna umeme. Kwa hili profesa wangu umetokota vibaya.
Ubaya wa hapa JF huwezi jua aliyeanzisha uzi ni nani na anamwangalia vipi anayemtuhumu. inawezekana kabisa aliyeanzisha uzi huu ni mwathilika wa juhudi za prof za kuondoa mgao wa umeme, anafanya juhudi kumvunja moyo ili dili lake liendelee...
umeme ukikatika kidogo tu UNALALAMIKA.... kwani Prof. Muhongo ni Mungu..? Maintenance in many areas may need electrical power cut-off for sometime....
Unalalamikaaa utafikiri U LACK OXYGEN.... jifunze kufikiri na acha kulalama...