Ubaya wa hapa JF huwezi jua aliyeanzisha uzi ni nani na anamwangalia vipi anayemtuhumu. inawezekana kabisa aliyeanzisha uzi huu ni mwathilika wa juhudi za prof za kuondoa mgao wa umeme, anafanya juhudi kumvunja moyo ili dili lake liendelee...
Ndio uzuri wenyewe wa JF kutofahamika; mngefahamiana mgeoneana aibu na msingefunguka hasa wale magamba!! VIVA JF!!!