Profesa Sospeter Muhongo hongera

Ni kweli kwani nakumbuka wakati wa sakata la gesi kule Mtwara aliwaambia Wawekezaji wa ndani kuwa hawana hela za kuwekeza kwenye gesi. Hivyo vijihela vyenu mkawekeze kwenye viwanda vya juisi na matunda. (Akimlenga Marehemu Mengi wakati ule)

Km unakumbukq vzr alifanya presentation na kuridhibitisha hilo kwa data
 
Kuna watu wanaowashinda kwa kujikweza, maringo, majigambo ya usomi na utajiri kama nyie nshomile, au unaongea kinyume.....nyie si mliita billion nane ni pesa ya mboga, nenda kakamate senene...
 
Hatukuwahi kuwa na Proffesor wa ovyo kama huyu ,kama sikosei alishasemaga kuwa wafanyabiashara watanzania wanaweza kuwekeza kwenye juice tuu na si vingenvyo
 
Hatukuwahi kuwa na Proffesor wa ovyo kama huyu ,kama sikosei alishasemaga kuwa wafanyabiashara watanzania wanaweza kuwekeza kwenye juice tuu na si vingenvyo

Maana yake alikwisha jitayarisha kuwauzia mabeberu vitalu vyetu vya GESI!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…