Profesa Mushi wa MUCE achezea sharubu za Rais Magufuli kwa ufisadi. Vyombo vya dola vyaagizwa kumchunguza

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
754
3,097
"Chuo cha Mkwawa mnani-disappoint, ndiyo maana sikuja kuweka jiwe la msingi. Siwezi kuweka jiwe la msingi kwenye jengo lililojengwa kifisadi, siwezi. Kuna profesa mmoja alikuja hapa mka-mretain, alitakiwa awe mahakamani, anaitwa Profesa Mushi."
----

Rais John Magufuli amefichua siri ya kukataa kuweka jiwe la msingi katika ukumbi wa jengo lililopo katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mkwawa mkoani Iringa akisema limejengwa kifisadi kwa Sh 8bilioni.

Rais ameeleza hayo leo, Mei 2, 2018 wakati akizungumza na wafanyakazi na wanafunzi wa chuo hicho ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani humo.

"Muda mwingine tuambizane ukweli Chuo cha Mkwawa kimeniangusha, ndio maana nilikataa kuja kuweka jiwe la msingi katika lile jengo. Siwezi kuweka jiwe la msingi katika jengo la kifisadi.

"Nikitoka hapa nitakwenda kulikagua. Nilitegemea chuo hiki kitasimamia value of money (thamani ya fedha), kwa sababu kuna wasomi lakini tofauti."

Rais Magufuli alitumia nafasi hiyo kuviagiza vyombo vya dola kuhakikisha wanawachukulia hatua wale wote waliohusika katika mchakato huo hata kama wamestaafu, watafutwe waliko.

"Mmeshindwa kusimamia ujenzi wa lile jengo halafu leo mnaniomba mabweni? Nitaanzaje kuwakubalia wakati huku mmeshindwa, siwezi. Vyombo vya dola na wizara vifuatilie mkishindwa nitafuatilia.

Chanzo: Mwananchi

Pia soma
 
Hili jiwe linapenda kuwasema wenzake tu. Lakini lenyewe na ufisadi wake linajikausha.
 
na yeye atuambie 1.5T ziko wapi?
Na hivi anaitwa Mushi atakoma.Ila jiwe duuh lenyew linapiga kwelikweli halitaki wengi wakwapue ni ngumu.Mtaalam mmoja wa mambo ya uongozi aliwai kusema "If top leaders are not virtue even though they give order will not be accepted""Watanzania hawakuamini waliposoma report ya CAG juu ya ufisadi uliokithir
 
Yale yaleeee, issue sio ufisadi bali issue ni wale alio sema wasubiri anaendeleza kule waliko chelewa. Kumbuka vitambulisho vya Taifa. Tuliambiwa bwana yule alitumia pesa nyingi na bei kubwa kwa kitambulisho. Alipo muweka hapo Potty bei imepanda, vitambulisho havitoki ila hapo kwa mkuu ni sawa kabisa...
 
Huyu bwana ni shetani na siku zote ntamtambua hivyo,fedha za chato airport zimetoka wapi,fedha za mv dsm ziko wapi,1.5 trilion ziko wapi.huyu ni shetani muangalieni vyema,ni shetani, na huyo sjui mushi atafungwa hata kama hajaiba kisa mchaga,kitilya yuko wapi, nani aliweza kuiweka TRA hapo ilipo.huyu ni shetani tena shetani mkuu mungu achukue tu roho yake
Huyu ni sawa na Beelzebub na Li Bashite ni Jezebel.Nchi yetu imevurugwa na haya madubwasha.
 
Yale yaleeee, issue sio ufisadi bali issue ni wale alio sema wasubiri anaendeleza kule waliko chelewa. Kumbuka vitambulisho vya Taifa. Tuliambiwa bwana yule alitumia pesa nyingi na bei kubwa kwa kitambulisho. Alipo muweka hapo Potty bei imepanda, vitambulisho havitoki ila hapo kwa mkuu ni sawa kabisa...

Huyu sawa na chui kwa ngozi ya kondoo,, ukiongelea Nida utapigwa risasi kama lisu, huko anakopiga shetani huyu
 
"Chuo cha Mkwawa mnani-disappoint, ndiyo maana sikuja kuweka jiwe la msingi. Siwezi kuweka jiwe la msingi kwenye jengo lililojengwa kifisadi, siwezi. Kuna profesa mmoja alikuja hapa mka-mretain, alitakiwa awe mahakamani, anaitwa Profesa Mushi."
----

Rais John Magufuli amefichua siri ya kukataa kuweka jiwe la msingi katika ukumbi wa jengo lililopo katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mkwawa mkoani Iringa akisema limejengwa kifisadi kwa Sh 8bilioni.

Rais ameeleza hayo leo, Mei 2, 2018 wakati akizungumza na wafanyakazi na wanafunzi wa chuo hicho ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani humo.

"Muda mwingine tuambizane ukweli Chuo cha Mkwawa kimeniangusha, ndio maana nilikataa kuja kuweka jiwe la msingi katika lile jengo. Siwezi kuweka jiwe la msingi katika jengo la kifisadi.

"Nikitoka hapa nitakwenda kulikagua. Nilitegemea chuo hiki kitasimamia value of money (thamani ya fedha), kwa sababu kuna wasomi lakini tofauti."

Rais Magufuli alitumia nafasi hiyo kuviagiza vyombo vya dola kuhakikisha wanawachukulia hatua wale wote waliohusika katika mchakato huo hata kama wamestaafu, watafutwe waliko.

"Mmeshindwa kusimamia ujenzi wa lile jengo halafu leo mnaniomba mabweni? Nitaanzaje kuwakubalia wakati huku mmeshindwa, siwezi. Vyombo vya dola na wizara vifuatilie mkishindwa nitafuatilia.

Chanzo: Mwananchi

Pia soma
Wahenga hawakukosea waliponena "Ondoa boriti kwenye jicho lako uone kibanzi kwenye jicho la mwenzio", nafikiri Magu keshasahau mpunga alioubugia kwenye boti mbovu alilolipachika jina "Mzinga wa Jeshi" kwamba sio ufisadi bali ufisadi ni ule aliofanya Prof. Mushi. Kama hawezi kuzindua miradi yenye harufu ya ufisadi basi atuzindulie boti letu jipya linalooza kwenye gati la Jeshi
 
Back
Top Bottom