Profesa muhongo anashiriki vikao vya bunge?

adobe

JF-Expert Member
May 6, 2009
2,776
1,877
Tangu atenguliwe uwaziri huyu bwana sjawahi either kumsikia au hata kumuona Bungeni.

Kwa wale Wabunge hasa wa upinzani mlioko huku hebu tupeni taarifa kama anahudhuria au la ili tutoe hukumu kwa Spika kuwa ni wa kupokea amri toka juu au anafanya double standard.
 
Nasari kasema hajutii kuvuliwa ubunge, alikuwa busy akimtafutia mwanae uraia wa marekani...huyu mbunge wananchi washukuru kwa kuenguliwa maana sababu anazotoa za kujitetea ni za kitoto kabisa.
 
Anashiriki. Juzi, Jana na leo yupo kwenye vikao vya kamati ya MIFUGO & UVUVI jijini mwz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu atenguliwe uwaziri huyu bwana sjawahi either kumsikia au hata kumuona Bungeni.

Kwa wale Wabunge hasa wa upinzani mlioko huku hebu tupeni taarifa kama anahudhuria au la ili tutoe hukumu kwa Spika kuwa ni wa kupokea amri toka juu au anafanya double standard.
adobe, Mh. Lowassa alikaa miaka mitano pale akiwa kimya akichangia kwa maandishi-
 
Nasari kasema hajutii kuvuliwa ubunge, alikuwa busy akimtafutia mwanae uraia wa marekani...huyu mbunge wananchi washukuru kwa kuenguliwa maana sababu anazotoa za kujitetea ni za kitoto kabisa.
Mh kaka unapotosha . Eti alikuwa anahangaika kumtafutia mwanae uraia wa marekani? Kasema wapi.
Nilivyomsikiliza mm ni katika harakati za kupata mtoto.. na inaonekana mke wake alikuwa ana tatizo ..hali iliyowafanya waende nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzan
adobe, Mh. Lowassa alikaa miaka mitano pale akiwa kimya akichangia kwa maandishi-
Wanajitoa ufahamu eti toa utofauti wa binge na kamati.

Wakati huo hawatupi muda wa bunge na muda wa kamati.
 
Tangu atenguliwe uwaziri huyu bwana sjawahi either kumsikia au hata kumuona Bungeni.

Kwa wale Wabunge hasa wa upinzani mlioko huku hebu tupeni taarifa kama anahudhuria au la ili tutoe hukumu kwa Spika kuwa ni wa kupokea amri toka juu au anafanya double standard.

Teh teh teh tihiii
Unaweza usimuone lkn ana ruhusa kutoka kwa mh. Spika.
 
Back
Top Bottom