MASHANJARA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 379
- 500
Professor Mbarawa mtu mwenye uwezo mkubwa, mwadilifu, asiye mbaguzi na mvumilivu kwelikweli. Sijui kwa nini JPM alimtosa. Anyways alikuwa anatafuta nafasi nyingi iwezekanavyo kwa wa ukanda wenzie. Naomba Mungu hilo lisijerudiwa na kiongozi yoyote kwa kiwango chochote. Karibu Professor ulisaidie Taifa.