Profesa Maji marefu "Picha yangu imetengenezwa"

Kama ni kweli basi gazeti la Mwananchi naliweka kwenye kundi la udaku kama Uwazi, Kiu, Ijumaa.

ritz amka kumekucha.... usitafute kujua ni kweli au la!!

Tuchambue utetezi wake:

1. Yeye alikuwa na mbunge mwenzake V. Nyerere wanacheka na kufurahi sana. Anasema Nasari yupo kwa mbali anafoka na kuagiza vijana wa cdm wamdhuru. Hivi ktk hali ya kibinadamu ya kawaida (kwa wale wanaojua jinsi adrenaline hormones zinavyofanya kazi mwilini) hivi ukitishiwa kuuawa ni kweli utabakia unacheka tu na Nyerere au mwilim uta-react against yaani hisia zitabadilika au uogope au ukasirike au utake kukimbia, tena unatishiwa hivo ukiwa kwenye ngome/kambi ya wapinzani wako. Tuache kudanganya umma na kuupotosha ukweli. Bora tu angesema sikujua kama kuna mapaparazi wangenifumania kwa picha kiasi hicho au angesema tu sisi wote ni binadamu uadui wa nini maana wote tunafanya kazi ya siasa

2. Hivi tatizo ktk picha hii limesababishwa na chadema au wamiliki wa gazeti la mwananchi. Why lawama za kwanza hapo ziwaaungukie chadema wakati hilo gazeti si la chadema. Tuamke jamani ktk kutoa shutuma ziwe za kweli basi.
 
Editors nowadays are increasingly turning to sensationalism in an attempt to woo purchasers so as to keep their business afloat. Even so, nobody has ever expected a reputable newspaper like Mwananchi to engage in such nasty tactics.

Google Chrome transilation!
Hahaa andika kiswahili tu Dada ili Prof Majimarefu na yeye akuelewe maana yumo humu anachungulia, sasa unaandika Kiswahili halafu una translate kwenye Google Chrome huyu Prof Majimarefu unayemtetea atakuelewa?
 
Bora hata angeibuka na utetezi kuwa yule sio yeye, bali ni Mmeru anayefanana naye sana na kwamba angeshangaa tu kuwa kweli duniani wawili wawili! Anyway, akawashitaki sasa hao Mwananchi, Chadema na Tz Daima ndo atajua kuwa muhogo sio tu mzizi bali chakula pia.
 
Kwanza pitieni CV yake ndipo mtamuelewa maana darasa la saba wengi hawajuhi kusoma wala kuandika.
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1738.jpg
First Name: Stephen
Middle Name: Hilary
Last Name:Ngonyani
Member Type:Constituency Member
Constituent: Korogwe Vijijini
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 60, Korogwe, Tanga
Office Phone: +255 784 459090/+255 712 006666
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth

<tbody>
</tbody>
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Kwamndolwa Primary SchoolPrimary Education19701976PRIMARY

<tbody>
</tbody>
CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list

<tbody>
</tbody>
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
No items on list

<tbody>
</tbody>
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember of NEC2008
Chama Cha Mapinduzi, CCMRegional Economic Secretary2008
Chama Cha Mapinduzi, CCMEconomic Secretary, Korogwe rural2007

<tbody>
</tbody>
PUBLICATIONS
Description Published Date
No items on list

<tbody>
</tbody>
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
No items on list

<tbody>
</tbody>
RECOGNITIONS
Recognition Type Recognition DateReasonAction TakenIssued by
No items on list

<tbody>
</tbody>
 
Inabd aseme ni nani (kama si Nassary) alikuwepo upande wa kulia kwake maana inaonesha waz kuwa palikuwa na m2. Angalien jnc mkono wake upo pia jnc koti lilivyovutika.
 
kweli elimu ni mali..., yaani mcl wakiamua kumshtaki kwa kulidhalilisha gazeti lao, wanaweza kumfilisi kabisa huyu mbwiga,,,
 
Google Chrome transilation!
Hahaa andika kiswahili tu Dada ili Prof Majimarefu na yeye akuelewe maana yumo humu anachungulia, sasa unaandika Kiswahili halafu una translate kwenye Google Chrome huyu Prof Majimarefu unayemtetea atakuelewa?

Pole Manyanza nadhani wa kwanza unayehitaji google translator (na siyo transilator) ni wewe. Usimzulie Maji Marefu hapo.

Kimekupita nini cha Malkia?
 
Pole Manyanza nadhani wa kwanza unayehitaji google translator (na siyo transilator) ni wewe. Usimzulie Maji Marefu hapo.

Kimekupita nini cha Malkia?

Hahaaa mbona Multiple ID's, Radhia Sweety? sikujua Binti Mkongwe ndio Radhia Sweety??
halafu ndio maana nikasema mnatumia Google chrome kujifanya mnakijua cha malkia, na hujanielewa nilikuambia andika kiswahili ili hata prof majimarefu akuelewe maana yumo humu ndani anachungulia

ritz amka kumekucha.... usitafute kujua ni kweli au la!!

Tuchambue utetezi wake:

1. Yeye alikuwa na mbunge mwenzake V. Nyerere wanacheka na kufurahi sana. Anasema Nasari yupo kwa mbali anafoka na kuagiza vijana wa cdm wamdhuru. Hivi ktk hali ya kibinadamu ya kawaida (kwa wale wanaojua jinsi adrenaline hormones zinavyofanya kazi mwilini) hivi ukitishiwa kuuawa ni kweli utabakia unacheka tu na Nyerere au mwilim uta-react against yaani hisia zitabadilika au uogope au ukasirike au utake kukimbia, tena unatishiwa hivo ukiwa kwenye ngome/kambi ya wapinzani wako. Tuache kudanganya umma na kuupotosha ukweli. Bora tu angesema sikujua kama kuna mapaparazi wangenifumania kwa picha kiasi hicho au angesema tu sisi wote ni binadamu uadui wa nini maana wote tunafanya kazi ya siasa

2. Hivi tatizo ktk picha hii limesababishwa na chadema au wamiliki wa gazeti la mwananchi. Why lawama za kwanza hapo ziwaaungukie chadema wakati hilo gazeti si la chadema. Tuamke jamani ktk kutoa shutuma ziwe za kweli basi.
Mkuu, nadhani unapoteza nguvu na maarifa kfanya uchambuzi huu kwa sababu sidhani kama Maji Marefu anajua anachokisema
 
Back
Top Bottom