Profesa Lipumba awapokea wanachama 50 kutoka ACT Wazalendo

Hivi Waarabu huwa mnawaona wapi Zanzibar? Nilikwishafika Zanzibar na Pemba. Na pia nikafika nchi za waarabu - Egypt, Tunisia, Jordan... Sikuwahi kuwaona huko Waarabu wanaofanana na Wapemba hawa ninaoona hapa!!
Wapemba waarabu wengi wataondoka ACT wazalendo

Kisa kikubwa chama kimeshikwa na watu ngozi nyeusi akina Duni haji na yule ngozi nyeusi makamu wa Raisi wa Zanzibar

Mpemba Mwarabu hapendi kuwa chini ya Mswahili ngozi nyeusi mtoto wa Mtumwa
Baada ya kifo cha Maalim Seif ilitakiwa wampe mpemba mwarabu ndipo roho za wapemba waarabu zingefurahi

Watahama wengi sana
 
Mliowashinda kuwanunua mnatumia mahakama wa risasi kuwamaliza. Usijitoe ufahahamu hapa.
Halafu ukifikiria ni pesa za serikali (kodi za wananchi) ndio zinatumika inasikitisha sana.

Nchi yenyewe hii bado ni LDC inaishi kwa misaada na mikopo nafuu; viongozi wanazamisha pesa "kuzima" upinzani. Halafu mashabiki wanaona sawa manunuzi ya viongozi wa upinzani kama vile hela inatoka mifukoni mwa watu. Tukiitwa a shthl country tunakuja juu.
 
Inasikitisha sana. Yote Haya yanafanyika Kwa ajili ya maslahi ya wachache ni familia zao. Lakini wanatumia maskini waliowengi kujustify mambo yao.
 
Alijisanganya atashusha Tanga atapandisha Tanga na kufatwa na maelfu ya Wazanzibar
jimboni kwake hawamtaki aje kufuatwa ni maelfu wazanzibari atawapata wap
Juzi alipotoka ACT jimboni kwane tawi jipya la ACT limefunguliwa nyomi balaa, kadi za kielekronit Zitto amegawa kama utitiri,
Mtumeni yeyeye afanye kamkutano hapo jimbo muone fedheha labda atahutubia mimema viti na meza
 
M
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, leo Jumapili Februari 20, 2022 ameongoza mapokezi ya wanachama takribani 50 wanaorejea kwenye Chama hicho akiwemo Masoud Hamad Masoud kutoka Chama Cha ACT- Wazalendo.

Masoud aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa ACT katika uchaguzi uliofanyika Januari 29, 2022 akishindana na Juma Haji Duni, amekihama chama hicho na kirejea CUF kwa madai ya kutokuridhishwa na mchakato wa uchaguzi.
Mnataka kuniambia Mwananchi wamepika takwimu. Tuambieni tuwashighulikie kwa ile sheria yetu.
Screenshot_20220221-132819_Chrome.jpg
 
Wapemba waarabu wengi wataondoka ACT wazalendo

Kisa kikubwa chama kimeshikwa na watu ngozi nyeusi akina Duni haji na yule ngozi nyeusi makamu wa Raisi wa Zanzibar

Mpemba Mwarabu hapendi kuwa chini ya Mswahili ngozi nyeusi mtoto wa Mtumwa
Baada ya kifo cha Maalim Seif ilitakiwa wampe mpemba mwarabu ndipo roho za wapemba waarabu zingefurahi

Watahama wengi sana

Kwahiyo Lipumba ni mwarabu? Acha siasa za kishamba dogo.
 
Kama ni hivyo basi Chadema kazi yao kuuza viongozi mfano wabunge 19 wote mnasema wamenunuliwa na CCM ,haya Slaa ohh kafika bei,Mashinji ooh kafika bei,Lowasa ohh kafika bei nk ina maana Chadema ni gulio la kuuza
Rh
Conclussion basi Tanzania upinzani haupo sababu hakuna chama viongozi wake wengi hufika bei na kununulika kama Chadema

Usitake kuchanganya ili ionekane hizo hali zinafanana, wabunge 19 hawajafika bei, bali wemepewa ubunge kwa njia ya uani ili kuhalalisha ule uchaguzi wa kihayawani, na kupandikiza migogoro ndani ya cdm. Slaa alikubali kuhongwa na ccm kutokana na kuidhiria cdm baada ya nafasi yake halali ya kugombea urais kupewa Lowassa. Mashinji, Nassari nk hao walifika bei baada ya kushindwa kuvumilia mateso toka kwa dhalimu wa chattle.

Lowassa yeye hajapewa hata shilingi ili kurejea ccm, bali ilibidi arudi ccm shingo upande maana zaidi ya 90% ya mali zake ni za wizi alipokuwa madarakani. Hivyo ili abaki salama na mali zake za wizi zisiguswe, ilibidi ajisalimishe ccm, ili yule kiongozi muovu asimfanyizie.
 
Wapemba waarabu wengi wataondoka ACT wazalendo

Kisa kikubwa chama kimeshikwa na watu ngozi nyeusi akina Duni haji na yule ngozi nyeusi makamu wa Raisi wa Zanzibar

Mpemba Mwarabu hapendi kuwa chini ya Mswahili ngozi nyeusi mtoto wa Mtumwa
Baada ya kifo cha Maalim Seif ilitakiwa wampe mpemba mwarabu ndipo roho za wapemba waarabu zingefurahi

Watahama wengi sana
Hii ni hoja ya kibaguzi sana. Ni upuuzi kujenga hoja zilizojaa ubaguzi nanna hii karne ya 21. Tena toka kwa mtu anayejiita GT?
 
jimboni kwake hawamtaki aje kufuatwa ni maelfu wazanzibari atawapata wap
Juzi alipotoka ACT jimboni kwane tawi jipya la ACT limefunguliwa nyomi balaa, kadi za kielekronit Zitto amegawa kama utitiri,
Mtumeni yeyeye afanye kamkutano hapo jimbo muone fedheha labda atahutubia mimema viti na meza

Punguzeni mihemko
 
Kama ni hivyo basi Chadema kazi yao kuuza viongozi mfano wabunge 19 wote mnasema wamenunuliwa na CCM ,haya Slaa ohh kafika bei,Mashinji ooh kafika bei,Lowasa ohh kafika bei nk ina maana Chadema ni gulio la kuuza
Rh
Conclussion basi Tanzania upinzani haupo sababu hakuna chama viongozi wake wengi hufika bei na kununulika kama Chadema
Umesahau wabunge na madiwania waliouzwa 2016-2020?
 
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, leo Jumapili Februari 20, 2022 ameongoza mapokezi ya wanachama takribani 50 wanaorejea kwenye Chama hicho akiwemo Masoud Hamad Masoud kutoka Chama Cha ACT- Wazalendo.

Masoud aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa ACT katika uchaguzi uliofanyika Januari 29, 2022 akishindana na Juma Haji Duni, amekihama chama hicho na kirejea CUF kwa madai ya kutokuridhishwa na mchakato wa uchaguzi.
Hongera sana Professor
 
Back
Top Bottom