HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,077
- 1,392
Zile nyumba watu walijitolea ili zitumike kama ofisi za Cuf bure kabisa.Sasa hapo Propesa analalama nini?Nyumba ya kwangu,niliamua itumike ktk shughuli za Cuf,na sasa nimeamua zitumike ktk shughuli ACT.
ccm watampa support ya viwanja vya mpira na majengo waliyoyapora kwa umma
Itambidi Lipumba aonyeshe sasa ushahidi wa maandishi nikanisha hati za nyumba na viwanja. Kuorodhesha tu kwa Mtungi mali haitoshiUlichokisahau ni kuwa mali zote za chama huandikishwa kwa msajili wa vyama,chochote kilichoandikishwa kwa msajili kitabaki ni mali ya cuf hata kama ni wanachama walijitolea.
Kosa wanalolifanya ni kuingiza ushabiki kwenye mambo ya kisheria. Halafu wakibanwa watadai Lipumba anasaidiwa na serekali
Sent using Jamii Forums mobile app
mwenyekiti wa msajili na mahakama... nMwenyekiti wa Chama cha Cuf ndugu Profesa Lipumba amewapa onyo wale wote waliobadirisha matumizi ya Ofisi za Chama cha Cuf na kuwa za ACT.
Pia amewakumbusha kwamba ni makosa Kisheria kuchoma Bendera za Chama na kamwe wajiepushe na mukumbo wa ushawishi wa aina yeyote kwa kutenda uovu wa ama kuchoma ama kubadirisha Ofisi za Chama A kuwa za Chama B kinyume cha Sheria.
Amewapa ushauli wa kujitenga na akili za kuambiwa kwani mbele ya safari zitawaponza!
Politically correct.Majengo yanayobadilishwa ni majengo ya watu waliojitolea majengo yao yatumike kama ofisi za cuf,wanapoondoka wanaondoka na chakwao.
hujui hata historia ya zanzibar umetoka kwenu bunyungu kuja mjini kusoma. ya pwani utayajua zanzibar siasa ni rangi. kuhani weweZanzibar lipumba wanamuona kama kinyago
kipimo ninini? hata lowasa tuliambiwa kakatwa mkia na amejinyea ghafula kawq shujaa lumumba
Na akijidanganya akaenda Zanzibar atakuwa hajipendi, wazanzibar sio sawa na wadanganyikaAende akasemee Zanzibar sio huko Buguruni,Ofisi zote znz zinabadilishwa zinaenda ACT kama anataka ofisi znz akafungue zake.
Naomba wazanzibar mtusaidie kumtia adabu Lipumba maana huku bara ametushinda, akija huko mumng'oe korodani zake ili atie akiliKwa Zanzibar kiukweli ndio asahau hakuna kitu kinaitwa CUF tena, ni ACT tu.. Haa
Waweza kuta hata hizo nyumbabwalikuwa hawalipii kodi.......kazi ngumu sana nahisi sasa LA profeseri atatumwa zenji spite nyumba kwa nyumba tena akiwa na ulinzi mkali katika ziara yenye ulinzi mkaliHakuna mjinga tu anayeweza kutoka nyumbani kwake na kubadili rangi ya jengo ambalo ni mali ya chama....
Ukiona anafanya hivyo, elewa kuwa ni mali yake na maana yake ni kuwa hana mkataba tena na CUF na hakuna sheria ya kumlazimisha awe na mkataba nayo....!!
Kwa ishu ya kuchoma bendera, ingalau hilo ni kosa maana ni kweli hiyo ni mali ya chama.....
Lakini, huko Zanzibar kwani hakuna polisi wa kuwatia ndani wahalifu hao (kama ni kweli wanachoma bendera) mpaka Lipumba awaambie kuchukua hatua?
Wachukue hatua haraka!!.... What are they waiting for?
Usikute bendera zimekusanywa usiku kwa usiku na kwenda kuchomwa moto barabarani ama majalalani pasipo hata aliyezichoma kujulikana....!!
Umri huo bado haujui kuwa upinzani unapambana na dola! Chama kilichopo madarakani hakishindani na upinzani kwani kinalindwa na dola na ndicho kinachodumaza maendeleo.Siasa za Afrika ni kama michezo ya watoto. Kila mtu anataka kuwa "BABA".
Huu utitiri wa vyama ndiyo sababu ya kudumaa kwa demokrasia ya kweli.
Umri wangu unaujua?Umri huo bado haujui kuwa upinzani unapambana na dola! Chama kilichopo madarakani hakishindani na upinzani kwani kinalindwa na dola na ndicho kinachodumaza maendeleo.
uprof. sio zawadi mkuu kwamba kila mpuuzi anaweza kukunyang'anyaUzii huu unanikera pale tu watu wanapoendelea kumwita Professor ilihali yy hana hadhi hiyo. Mwiteni Li-pumba.