Lakini kua na Ph.D hakukufanyi uwe professod automatically ingawa naona huyu bwana wa miaka 43 kuitwa mtoto ni tatizo kubwa..Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Tumejadili yote hayo soma juu hapo.Lakini kua na Ph.D hakukufanyi uwe professod automatically ingawa naona huyu bwana wa miaka 43 kuitwa mtoto ni tatizo kubwa..
Nilitamani angemwacha aibue vipi hapo chuoni
Hatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.
Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi raisi wetu MAGUFULI
View attachment 1212578
View attachment 1212579
Definition ya Professor nayo ni muhimu kuzingatiwa. Tanzania Professor ni cheo cha academia unachopata baada ya kuibuka through the ranks, upate Ph.D, ufundishe miaka kadhaa etc. Kuna kupitia kuwa Associate Professor kwanza kabla ya kuwa full Professor.
Marekani Professor maana yake ni mwalimu wa chuo kikuu, unaweza kuwa Professor bila Ph.D. Kuna Professor wetu mmoja wa electives (History) mwaka wa kwanza chuo, tulikuwa tunamuita Dr., tukifikiri kila mwalimu ana Ph.D, akatuambia tusimuite Dr. kwa kuwa bado yeye ni Ph.D candidate hajapata Ph.D yake bado.
Mjukuu 😂😂😂Kuna dogo mmoja wa Francis Mponjoli Kifukwe alichukua Ph.D akiwa na miaka 26 kama sijakosea.
Sasa kama miaka 43 ni mtoto, huyo wa 26 aitwe vipi?
Kwani wanaovumbua vitu mfano marekani ni maprofesa? Billy gates Ni profesa?Kwahiyo unasema maprofesa wa marekani ni uchwara. Hao unaowaita maprofesa wa kutoka Mlimani mbona hatuoni paper zao kwenye journal za kimataifa. Profesa gani wa Mlimani amewahi kufanya uvumbuzi wa kitu cha maana.
Hatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.
Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi raisi wetu MAGUFULI
View attachment 1212578
View attachment 1212579
Nimo hata kwa michezo.Kwa mara ya kwanza leo nimeona coment yako nilishazoea ya kukaribisha mgeni tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
TrueIn African context ni mtoto sana
Kuna tofauti kati ya uprof. na PhD.prof lipu alikuwa balozi?
Unakuwa unakaribia Uprofessor lakini siyo Professor.Siyo kila mwenye PhD anakuwa Professor! You are missing the point!
Kwani wanaovumbua vitu mfano marekani ni maprofesa? Billy gates Ni profesa?
Mm namkubali Prof Jay tu maana aliupata mapema zaidi kwenye Gem ya mziki ila marehe Maji marefu kachelewa kuipata ila aliitumia hadi kwenye plate number ya gariHatimaye Chuo chetu cha UDSM kimepata kuwa na professor mtoto kuliko wote, amepata ubalozi.
huyu professor ni kijana mdogo sana na ana akili za ziada.
Magufuli anajua kutafuta vichwa, pongezi raisi wetu MAGUFULI
View attachment 1212578
View attachment 1212579
Km ss nina 30 nina degree 2 hy cwezi kuipataKwani sasa una umri gani?
Una 'degree' mbili na hauwezi kuandika Kiswahili?Km ss nina 30 nina degree 2 hy cwezi kuipata
HIVI VETA hamjafungiua tu?, mnaharibu thread za kisomiMm namkubali Prof Jay tu maana aliupata mapema zaidi kwenye Gem ya mziki ila marehe Maji marefu kachelewa kuipata ila aliitumia hadi kwenye plate number ya gari