Hii Lugha ya "Niga" ni tusi. Acheni kutukanana na kututukana sote tulio na ngozi nyeusi!!!Kuna Niga mmoja aliwasifia hawa wazungu kuwa ni wanaume wa kweli walipohaidi kulipa kishika uchumba cha accacia
Kuna Niga mmoja aliwasifia hawa wazungu kuwa ni wanaume wa kweli walipohaidi kulipa kishika uchumba cha accacia
Ndo hapo hata wazungu wanatushangaa.Mbona hakuna Muzungu yoyote amesema chochote mpaka sasa hivi nasikia niggaz tu wakilia, kwa nini?
Mkuu kwahiyo sisi kutuita niga kapatia sio....samahani ila na huyo niliyemquote naye mpe onyoHii Lugha ya "Niga" ni tusi. Acheni kutukanana na kututukana sote tulio na ngozi nyeusi!!!
usitishwe na hile mmacho mkuu!kichwan hamna kitu na ndo maana ukitamka mjua n muongo angalia anavokaza macho wkt wa kuongeaMuacheni Kabudi..ni genious 💪 maneno tu hapa ila hamna anaecomment humu anaeweza simama na Kabudi kwa Hoja na Mifano HAI...acheni bana tena acheni kabisa.
Nawaangaliaga tu.
Tajiri habishani na maskini mkuu huwa ni vitendo tu subiri.Mbona hakuna Muzungu yoyote amesema chochote mpaka sasa hivi nasikia niggaz tu wakilia, kwa nini?
Kabudi kajitoa ufahanu kwa kuweka uproffesor wake pembeni na kufuata mdundo wa ngomaWanawasubiri wakati mkiwapelekea bakuri, hawana haraka na nyie muda utafika utajipeleka mwenyewe.
Wazungu ni vitendo kwa kubana misaada,ila naomba kabisa wasifanye hivyo kwenye dawa hasa za chanjo tutaumia sana kama nchi.Zile zinasema hisani ya watu waMbona hakuna Muzungu yoyote amesema chochote mpaka sasa hivi nasikia niggaz tu wakilia, kwa nini?