Profesa Kabudi Paramagamba, kivuli cha unafiki

Kuna Niga mmoja aliwasifia hawa wazungu kuwa ni wanaume wa kweli walipohaidi kulipa kishika uchumba cha accacia
Mkuu sijakuelewa hapa kwani nafikiri kuwa huyo mhusika alitoa sifa ya ukweli. Fikiria unamdai mtuDreamliner halafu yeye anakuja mnazungumza na mnakubaliana kuwa badala ya Dreamliner akununulie basikeli tu, nawe unaridhika. Sasa huyo si ndio mwanamume. LoL
 
Prof kibudu sasa ndio mhimili wa awamu

jamaa tapeli anamjaza ujinga mzee wa watu mpaka sasa inaonekana ndiye waziri pekee mwenye kibali cha kuzurura inje ya nchi kinyume kabisa na agizo la mzee la kupiga marufuku safari za inje.
 
Mwacheni Kabudi afanye kazi yake,nyinyi mmeifanyia nini Tanzania. Rais ana imani naye na hilo ndio la msingi.
 
Unafeli sana kwa kauli yako hii. Rais hakujiweka hapo Bali tulimuweka sisi na anatakiwa atende kwa kutusikiliza sisi tuliompa ridhaa na siyo kujisikiliza mwenyewe na kikundi Cha mabest wake! Hatufiki na hatutafika tulikotarajia kufika! Rais asikilize wapigakura wanachoona na mawazo yao ayafanyie kazi na hapo ndipo umuhimu wa taasisi ya urais itakapoonekana imetenda tofauti na yeye! Kwa ujumla, kabudi hakufaa kuongoza kokote!
 
Sifahamu unatumia katiba gani, anayechaguliwa kuwa rais hapangiwi baraza la mawaziri anawachagua kwa utashi wake.
 
Kuna mahali unajichanganya! Huwa hachagui peke yake Bali hushirikisha tiss!
 
Back
Top Bottom