Profesa Kabudi Paramagamba, kivuli cha unafiki

Profesa Kabudi Paramagamba, kivuli cha unafiki

Sasa ulitaka waseme nini mkuu, hawana sababu ya kufanya hivyo na hawataki mashindano wao wanatizama tu huku wakicheka kwa dharaaau.....!


Sasa kwa nini iwe ishu kwenu kama Muzungu mwenyewe mlengwa siyo ishu?
 
Nimesoma huko juu na kugundua Andiko lote litakua limejaa UPUMBAVU. Rais hajaomba msaada Namibia, Kaomba wawekezaji. Je huku ni kupiga magoti?Mtu akija kuwekeza hapa ndio kuomba Msaada?Umeleta story za simu,saa,nguo na mashuka nk kutoka nje. Je hivyo vitu vinakuja bure kama misaada?Hivi unaelewa maana ya Msaada?Unaketewa net au ARV na unaambiwa usaini makubaliano flani kuhusu madini na makampuni yao. Huo ni msaada au Biashara iliyojificha kwenye kivuli cha Msaada?Sikia,HAKUNA KITU KINAITWA MSAADA.Kama una AKILI TIMAMU utaelewa.

Nywanoko
 
Watawala wa afrika hupata akili wakitoka madarakani .

Eti anaitwa profesa si ajabu hata wanafunzi wake wanaona aibu sasa
 
Kati ya watu wa hovyo kutokea kuwa viongozi wa juu tz ni le prof. kabundi. Ni wa hovyo kupita hovyo yenyewe.
Aisee yaa kiungozi Mara kumi jokate kuliko huyu kalamaganda kibudu
 
Muacheni Kabudi..ni genious maneno tu hapa ila hamna anaecomment humu anaeweza simama na Kabudi kwa Hoja na Mifano HAI...acheni bana tena acheni kabisa.

Nawaangaliaga tu.
Hana hoja wala mifano hai yeyote zaidi kutumbua mimacho utadhani kabanwa na kimba baada ya kula. Mapera bila kunywa maji
 
Ningekuwa Magu watu kama Kalamaganda wanaojipendekeza kijinga kiasi hicho ningewafukuzilia mbali na kuwasweka lock up kwa sababu kwa kweli hawana nia njema na nchi hii!
 
Sasa kwa nini house niggaz mnatoka povu kama mlengwa mwenye Muzungu wala hajali anaitwa nini na nani?
kuongea ni wajibu wetu, kama ilivyo wajibu wako na haki yako. Ila mzungu yuko kimya sababu hahitaji kubishana na wapumbavu
 
kuongea ni wajibu wetu, kama ilivyo wajibu wako na haki yako. Ila mzungu yuko kimya sababu hahitaji kubishana na wapumbavu


Ilia ninyi house negroes ndo mnahitaji kubishana na ,,wapumbavu” kwa niaba ya Muzungu?
 
Kuomna watu kuja kuwekeza Nchini ni kuomba msaada? Wewe ni mbumbumbu plus au labda umelenga nyumbu wenu wa humu! Hiyo ni biashara bro!
Eti umeandika nini sijelewa point yako.
 
Huyu ni waziri wa mfano.

Inabidi mawaziri wengine wa serikali ya awamu hii wafuate nyayo za huyo mzee.

Wanaposema kuna watu wameenda shule kusomea ujinga huwa hawakosei, huyu Palasamaki ni dalili ya wazi ya mtu aliyeenda kusomea ujinga.
palasamaki,kabaki tu kutoa mijicho
 
Congratulations!!....honestly inasikitisha kuona mtu kama huyu ambaye kwa nafasi yake ana nafasi kubwa na nyeti ya kumshauri Mkuu ....lakin badala yake anazidi kupotosha na kuharibu zaidi. Shida tupu
 
Congratulations!!....honestly inasikitisha kuona mtu kama huyu ambaye kwa nafasi yake ana nafasi kubwa na nyeti ya kumshauri Mkuu ....lakin badala yake anazidi kupotosha na kuharibu zaidi. Shida tupu
Ukiahimisha akili kwenye tumbo basi huwezi kufikiri vema.
 
Mimi ni msomi lakni siamini kama wasomi wa Tz wanaweza kututoa hapa tulipo. Kwanza wengi wa mapHd holder wana njaa Kali wanapopata nafasi hawawezi kuwa/kubeba njozi ya taifa.

Halafu issue ya uteuzi wa kumteua mtu ambae HAKUTARAJIA unamfanyia surprise ni hatari sana always they won't meet standards.

Kwenye nchi zilizoendelea, wasomi wengi ni watu waliofanya kazi muda wa kutosha nje ya vyuo vikuu kabla ya kurudi chuoni kujiendeleza na hatimaye kuwa waalimu. Hawa watu wanakuwa na ufahamu mkubwa. Huku kwetu ni kinyume; kijana anamaliza shahada ya kwanza kwa ufauli mzuri anabaki chuoni kama mwalimu maisha yake yote. Unapomteua mtu huyo kwenye nafasi kubwa ujue anakwenda kuanza kujifunza kutafsiri nadharia ambayo amekuwa akifundisha kuwa vitendo vya kubadilisha maisha ya watu. Hiyo siyo kazi nyepesi.Kama wapo waliopata kumudu hiyo transition ni wachache sana. Kuna tofauti kubwa sana baiana ya kufundisha na kuwa kiongozi mtendaji.
 
Back
Top Bottom