Profesa Kabudi awasha moto Katiba Mpya

Tunawasomi wazuri mnoo tz ila wanashawishika they face conflict of interest simameni wasomi muokoe nchi hii ndo mda huu wakutusaidia wanyonge

Tatizo kuna wasomi kama Shivji na akina Tibaijuka,Migiro etc hao wataokoa matumbo yao na ccm
 
Ningekuwa na uwezo wa kumshauri mwalimu wangu, dean wangu, na super visor wangu wa LL.B dissertation yangu, Prof. Palamagamba Kabudi, ningemshauri, aizamishe hii sense ya Tanganyika ndani ya vichwa vya CCM!. Hili ni suala tuu la kuwapatia elimu CCM, waelimike, waachane na ujinga wao wanaotaka kuulazimisha kwenye bunge maalum!.

Asante Prof. Kabudi, kulizungumzia hili.

Thanks.

Pascal.

Tatizo CCM wameshatiwa upofu na Mwenyezi Mungu, hawaoni tena kilicho mbele yao! hawaoni tena mantiki. Kibaya zaidi hata Kabudi alikatiwa matangazo na wakaweka Taarabu.
 
Hata kama CCM na wote waliopofushwa na pengine hofu ya zomeazomea ya watu wanatokana na maslahi ya watawala watalazimisha maoni yao na kipindua yaliyomo ndani ya rasimu, ni kitambo tu na wajie,Tangamyika ipo na itarudi tu maana ni mzimu itakaoendelea kuwatafuna wote wanaoikataa leo.
Ole wenu mnaojua ukweli wa mioyo yenu kijawa na Tanganyika lakini mnaogopa kisema ili muweke rekodi itakayowasaidia kuheshimika pindi Mambo yakiharibika maana haiwezi kupita miaka 20.
 
Pascal Mayalla, inasikitisha sana kuona hawa watawala wetu wakiikana Tanganyika ambayo pia ipo ndani ya KATIBA, na vilevile ni vigumu kuitamka Zanzibar bila kuitambua Tanganyika. Sijui wamelishana yamini gani kujiaminisha kitu ambacho hakipo na hakiwezekani.

Watawala wanajiamini kwamba wanatawala mazezeta ya Tangznyika hayana uelewa vichwani kazi ipo Zanzibar.
 
Last edited by a moderator:
Asante Ben, kipindi ilikuwa kirudi siku nyingi, logistics zikikamilika, soon mtakiona hewani, ila ni kwa jina jingine!. Pasco achana nae kabisa, hana maana kabisa!, yeye kila siku anang'ang'ana na ukweli tuu, as if hajui siasa zetu ni za uongo uongo!. Afadhali yangu, kwenye ukweli nitasema, ila kwenye uongo nitajinyamazia!.

Paskali


Msalimie kijana mwenzio Pasco mwambie salaaam nyingi toka kwa vijana wa Madrasa kule Zanzibar na akina Ritz na FF Shekh Said
 
Wengi mmelisoma hili andiko la THE SO CALLED PROFESSOR kwa mihemko.
Binafsi sioni kama hotuba yenyewe INA hadhi ya kutolewa na professor.
Kama wewe ni professor unashindwa kuiona tofauti ya " TANZANIA BARA NA TANGANYIKA" lazima tuwe na wasiwasi na taaluma yako.
NO WONDER TUNAKUWA NA PRODUCT YA WASOMI WASIO NA ELIMU KAMA AKINA BEN SAANANE. kumbe walimu wenyewe ndio akina PALAMAGAMBA!!!!!!!!!!!!!!


TANZANIA BARA NDIO NCHI GANI usitumie makalio kufikiri wewe nenda kwa mtoto wa darasa la tatu muulize TANZANIA NI MUUNGANO WA NCHI ZIPI........HUWEZI KUPATA JIBU LA TANZANIA BARA NA TANZANIA VISIWANI labda huyo mwanafunzi awe mtoto NAAPE
 
PROF. KABUDI

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Back
Top Bottom