Kweli kabisa mkuu japo afande sele akipita hapa atafura kiroho mbayaHii iko wazi.
Hahahaaa mkuu una utaiza sasa na FaizaFoxyHakuna wa kupinga hili mkuu.
Atakayepinga ujue ana kadi ya CCM....
Mpe tu miaka miwili utanambia kama tena atakuwa na uwezo wa kushindanishwa na jKharigraph Jones papa Jones
J anatunzo ngapi za EA ? Nikumbushe labda nilikuwa nanyonya enzi zake!Mpe tu miaka miwili utanambia kama tena atakuwa na uwezo wa kushindanishwa na j
Sent using Jamii Forums mobile app
Aman kwakeHilo sikupingi mkuu, prof j ni kati ya wasanii wa bongo ninaowaheshimu zaidi.
Sent using my nokia ya tochi
Kwahiyo kwako wewe msanii unampima kwa tunzo?J anatunzo ngapi za EA ? Nikumbushe labda nilikuwa nanyonya enzi zake!
Wewe unampima kwa nini?
Ndio mojawapo ya mafanikio kwa msanii ni tunzo!.
Nimekuuliza kwahiyo wewe unampima msanii kwa tunzo? Mbona unayumba Mzazi si ujibu kama ni ndiyo au hapanaNdio mojawapo ya mafanikio kwa msanii ni tunzo!.