Profesa Asiye na Makuu

Wanasiasa kama huwajui, mbona unaweza ukaingia kichwa kichwa.
 
Hajamfikia Pinda kwenye kujichanganya tu.

Pinda kafyonza komoni kutoka gudulia moja na wakulima types kibao, huku VP anashangaa.
 
kwi kwi kwi kiw kwi kwi kwi kwi nimecheka sana hawa jamaa kwa kupenda wali balaa naona jamaa anamuagiza mshkaji kuwa amesahau pilipili na ndizi zake kwenye gali akamletee ha ha ha ha ha ah


mhh hao jukwaa kuu naona wamependelewa hawa watu bwana kwenye pilau wanaweza kukutoa roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…