mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,171
Mwakani naenda kupambana nae kupitia chama cha kidemokrasia tuone kama mdomo ataurefusha tena labda wanipambanishe na Alfred Tibaigana nasikia nae yumo hapo patachimbika.
Nakuhakikisha hayumo Huyu A. Tibaigana niliongea naye anasema siasa sasa basi, yeye anapambana na kilimo na miti aina ya karibea, yaani huyu mstaafu namkubali sana, ameajiri vijana kibao kwenye shamba jipya , na amenunua sehemu ambayo ni vigumu kustawisha kitu, lakini yeye limemfaa zaidi, kuna ndizi za kufa mtu.
Mama la prosesali huko ana kitu, kama anataka sifa aziweke kwenye kiimo sio kutafuta umaarufu kifisadi. Shule yenyewe Kajumulo iko taabani sijui hizo hela zinasaidia kitu gani ati!!!
Kama unataka kugombea ni-pm nikupe data jinsi ya kuwapiku vigogo hawa, hawana jipya.