Wewe fisadi mengi ni nani yako?Maccm bila rushwa hayawezi kuishi eh?
jamaa likajibu ivi;Maccm bila rushwa hayawezi kuishi eh?
Mods chungeni hawa watu,btw kwa nini mnaruhusu ID zinazoashiria shari?Wewe fisadi mengi ni nani yako?
Aje akanushe kama ni uzushi. Pigeni simu Muleba mkajulishwe mshike mshike wa leo nyumbani kwake. Huyu mama anazidi kutudhalilisha na ni aibu tupu kwa wanaMuleba.
Katika hali isiyo ya kawaida leo aliyekuwa waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Profesa Anna Tibaijuka ameponea chupuchupu baada ya vijana wa PCCB Wilayani Muleba kuvamia nyumbani kwakwe ghafla baada ya kupata tetesi kuwa alikuwa akigawa hongo kwa vijana wa mjini hasa wachuuzi wa ndizi ambao walikuwa wamejumuika kwake baada ya kuwaarika.
Alibainika mapema leo asubuhi kuwa profesa Anna anakikao na vijana hao na mwaliko wao uliambatana na ahadi ya pesa. Baada ya vijana wa PCCB kujulishwa kuhusu mchezo huo walijipanga kuhakikisha wanafanya kazi yao lakini taarifa za PCCB kujipanga zilimfikia Profesa kabla hajaanza kutoa rushwa.
PCCB walipovamia nyumbani kwake Kagabiro walikuta kundi la vijana na walipowapekua vijana hao hawakuweza kupata pesa hizo maana profesa alikuwa keshatonywa mapema kuhusu mtego wa PCCB.
Toka waziri huyo atemeshwe kibarua chake amekuwa kijijini kwao akifanya kila liwezekanalo kuwashawishi wananchi wa kada mbali mbali kwamba yeye ameonewa na kila baada ya vikao amekuwa na kawaida ya kutoa pesa kuanzia tsh 5000 hadi 25000 kulingana na hadhi ya mtu.
Juzi alifanya mkutano na watendaji, wenyeviti wa matawi wa CCM na makatibu wao ambapo baada ya kikao kwasababu walikuwa wengi waliambulia shs5000 na wengine 6000.
Watu wanajuuliza kweli na profesa anatimza ahadi zake kwa wananchi kupitia hongo kwa viongozi au ndo mambo ya ESCROW yameanza kufanya kazi?
Muleba tumebaki midomo wazi.

Anadhalilisha maprofesa wenzake waliotulia except prof. Muongo na yule aliyepuliziwa perfume ya uprofesa na wachina ili wapate gesi na meno ya tembo.
Kamugunga nafikiri ungeweza kutumia akiri kiogo ingekusaidia angalau watu waweze kukubali huu ushabaki wa kipumbavu. Kama Anna alifanya makosa kuliko wengine basi ina maana Tanzania ingelikuwa nchi ya pekee ktk bara la Afrika. Yaani mtu mzima unatumia muda wako kuleta habari za chuki humu jamani? Hivi unawajua mafisadi papa au hapana? Basi tumia huu muda kuwaandika hao na wala si kuleta chuki za kibnafsi hapa. Na hii tabia ipo hapo MLB! Na siajabu wewe unaongozi kikundi hiki cha chuki! Shame on YOU!
Nimecheka sana kapuliziwa perfume ya uprof, nimemtumia mtu hii post kacheka sana! Big umembandua huyo prof wa kichina
Hata hueleweki unataka kusema nini,hukanushi unadai tu ni chuki binafsi,mara kuna mafisadi papa zaidi yake.unataka kusema nini,au ni ndugu yako huyu unaumia kwa yanayomkuta.Kamugunga nafikiri ungeweza kutumia akiri kiogo ingekusaidia angalau watu waweze kukubali huu ushabaki wa kipumbavu. Kama Anna alifanya makosa kuliko wengine basi ina maana Tanzania ingelikuwa nchi ya pekee ktk bara la Afrika. Yaani mtu mzima unatumia muda wako kuleta habari za chuki humu jamani? Hivi unawajua mafisadi papa au hapana? Basi tumia huu muda kuwaandika hao na wala si kuleta chuki za kibnafsi hapa. Na hii tabia ipo hapo MLB! Na siajabu wewe unaongozi kikundi hiki cha chuki! Shame on YOU!
Mdau aliandika hivi;
jamaa likajibu ivi;
Mods chungeni hawa watu,btw kwa nini mnaruhusu ID zinazoashiria shari?
Anastahili Pingu maana migogoro ya ardhi sasa ni nchi nzima... Wawekezaji wa Prof Tibaijuka wamechukua ardhi ya wananchi na sasa wananchi wanapambana kurejesha ardhi yao...