kifinga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 5,249
- 9,499
sifa mojawapo ya masikini ni unafiki na roho mbayaJamaa Wana roho nzuri sana,kuanzia baba na watoto.
Hivi KWA nn wenye hela hua Wana roho nzuri sanaa ukicompare na Maskini?
sifa mojawapo ya masikini ni unafiki na roho mbayaJamaa Wana roho nzuri sana,kuanzia baba na watoto.
Hivi KWA nn wenye hela hua Wana roho nzuri sanaa ukicompare na Maskini?
Daaa Udsm mwaka wa pili alinifundisha water WR mwaka 2000Profesa Mayo ambaye ni mmiliki wa shule ya sekondari Alpha iliyopo mikocheni B afariki dunia usiku huu katika hospitali ya TMJ.
Taarifa zaidi zitafika kadri nitakavyozipokea.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
View attachment 1876907
TMJ kwani nao wana Uhaba wa Oksijeni?Profesa Mayo ambaye ni mmiliki wa shule ya sekondari Alpha iliyopo mikocheni B afariki dunia usiku huu katika hospitali ya TMJ.
Taarifa zaidi zitafika kadri nitakavyozipokea.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
View attachment 1876907
Jamaa Wana roho nzuri sana,kuanzia baba na watoto.
Hivi KWA nn wenye hela hua Wana roho nzuri sanaa ukicompare na Maskini?
Huyo Jamaa kakaririshwa vibaya sana na swala la umasikini na utajiri, anaweza hata sema wote wenye pesa ndiyo wako maridadi tu!!Sio wote wenye hella wana roho nzuli
Sio wote masikini wenye roho mbaya
Huyo Jamaa kakaririshwa vibaya sana na swala la umasikini na utajiri, anaweza hata sema wote wenye pesa ndiyo wako maridadi tu!!
Hapana mkuu......sifa mojawapo ya masikini ni unafiki na roho mbaya
Kikubwa familia zote ziwe zilikuwa zinajuaUsije tu mjadala kusema shule ni ya Edward Lowasa.
Muhimu ni taarifa ya kifo chake.
Kwani mzee Lowasa (kama ni ya kwake) haruhusiwi kuwekeza hapa nchini?Corona Nini?? niliwahi sikia ile shule Ni ya lowasa
Enzi hizo Prospective College of Engineering.Daaa Udsm mwaka wa pili alinifundisha water WR mwaka 2000
anaruhusiwa kabisa tena ndo vizuri kuliko kwende kuwekeza njeKwani mzee Lowasa (kama ni ya kwake) haruhusiwi kuwekeza hapa nchini?
Katika wimbi hili la Corona kwani Lowassa kajificha wapi?Mjadala tayari umeshaanzishwa.
Sijui aisee.Katika wimbi hili la Corona kwani Lowassa kajificha wapi?
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app