TANZIA Profesa Aloyce Mayo afariki Dunia

TANZIA Profesa Aloyce Mayo afariki Dunia

Mmiliki wa shule maarufu ya ALPHA HIGH SCHOOL iliyopo Mikocheni Industrial Area... Prof.Aloyce Mayo Amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospital ya TMJ. Alipokuwa akipatiwa matibabu.


user-christopher-smith-340x300.jpg
 
sifa mojawapo ya masikini ni unafiki na roho mbaya
Hapana mkuu......

Hiyo ni sifa ya mtu binafsi na wala haihusiani na hali kimaisha ya mtu husika........

Nimewahi kukutana na masikini wenye roho nzuri na pia nimewahi kukutana na matajiri wenye roho mbaya sana.......

Dunia ni watu na watu ndio sisi na sisi kati yetu kila mmoja ana tabia yake na hulka zake......

Hakuna tabia inayojumuisha jamii au watu fulani bali ni tabia ya mtu binafsi......
 
Daaah....Pumzika kwa Amani Mwalimu wangu Prof. Mayo.
 
RIP Prof.
Jamani tujikinge tuwe makini. Mungu atusaidie sana.
Poleni familia, wana UDSM na UDASA kwa ujumla.
Rest In Peace Prof. Aloyce Mayo, Mbele yetu, nyuma yako.
 
Back
Top Bottom