TANZIA Prof. Wamba Dia Wamba afariki dunia

Mbona husemi UDSM walimuingiza cha kike walipo mtoa marekani alipokua anafundisha kwa mshahara mzito na kumleta Mlimani kwao? Huyu mwamba mara ya mwisho nilimuona 1997 Kisangani alikua na walinzi kibao utadhani makamu wa raisi! Atakumbukwa kwa kua miongoni mwa viongozi wa makundi ya waasi yaliowatesa wakongomani baada ya kuhitilafiana na Kabila.
Kisangani ndio ilikua ngome yake akiongoza RCD Kisangani iliyokua imegawanyika toka RCD Goma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Prof Wamba dia Wamba ,mpambanaji enzi za Mobutu enzi hizo ikiitwa Zaire

Katika Second Congo War ,Prof Wamba alikua moja ya kiongozi wa RCD Goma

Nadhani wajuzi watakuja ongezea wasifu wake mwanaharakati ,mpambanaji na mwanasiasa mahiri Africa

R.I.P Prof Wamba , Mzee wangu ,jirani yangu , Pole sana James Wamba



Cc@zitto junior mng'ato

Sent using Jamii Forums mobile app
@zittojunior
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom