Nakumbuka kamati yetu ya Free Wamba dia Wamba pale Mlimani iliyoongozwa na Prof. Ken Edwards (Mghululi) R.I.P, Prof. Horace Campbell, na Ebehard Chambulikazi R.I.P.
Hizo zilikuwa enzi.
Ndiyo maana ni kosa kudhania kila mtu ni wa rika lako.
Tuchangie kwa kuheshimaina na kwa staha. Unaweza kukuta unatukana waalimu wako huku ukiwaambia kama wewe upo mbumbumbu hivi wanafunzi wako ni aibu tupu, yaani utopolo.
Kumbe mkuu unajipondea mwenyewe bila kujijua,
We call it just "shoot yourself in the foot".
shoot yourself in the foot
-to do something without intending to which spoils a situation for yourself.
Hakuna shida ,ndo maisha.Hata wewe Mungu akikulinda utafika tu umri wangu.Maana unaweza kufa na ngoma au corona na usifikie umri wangu.Mimi huwa sisikilizi Radio ujeruman maana wameandika humu kuwa huko ndo alikuwa anafanyia kazi.
Inakusumbua nini; ndiyo maana unatakiwa kuwa unajadili mambo kwa makini, siyo kutoa matusi matusi kwani wengine utakaowatukana wanaweza kuwa mababu zako.